Gharama za kwenda China

Gharama za kwenda China

Vuta subira mkuu,Sbr wamalizie kufnga hesabu.
 
Mtafute Beka ranger oooh sorry huyu walimdabua unyamwezini, matafute iddiy wazani
 
Habari za jioni wakuuu,mimi ni mfanyabiashara wa nguo aina zote huwa nanunua mzigo wangu Kariakooo, nataka kufata mzigo China gharama zikoje. Natakiwa niwe na sh ngapi ili niweze kununua mzigo wa kutosha anayejua anijuze

1. Nauli kwenda na kurudi: USD 1,200
2. Chakula kwa siku: USD 22
3. Hotel Single Room: USD 50
4. Nauli ya mizunguko town: USD 49 (Taxi+Metro+Daladala)
5. Mzigo wako unaotaka kununua: (Na hii tukupe jibu?): Minimum USD3,500
 
Usafirishaji wa mzigo, ushuru na logistic zingine inakuwaje?

1. Kuna makampuni mengi ya watz ya kusafirisha mizigo. Siwezi weka link zao hapa.

2. Ndege za mizigo zipo pia hasa pale Guangzhou city, china

3. > Ushuru sijui, but I heard kuna wasafirishaji wa meli wanakukata na ushuru kabisa kwa loose cargo
>Ndege hamna mambo ya ushuru. Ushuru unalipia mwenyewe mzigo ukifika airport.

Watanzania amkeni, wekeni information kama hizi katika blog zenu. Basic information kama hizi lazima ziwe wazi kwa jamii nzima.

By the way nimejifunza kitu.

Pamoja
 
Habari za jioni wakuuu,mimi ni mfanyabiashara wa nguo aina zote huwa nanunua mzigo wangu Kariakooo, nataka kufata mzigo China gharama zikoje. Natakiwa niwe na sh ngapi ili niweze kununua mzigo wa kutosha anayejua anijuze

Unataka ngua mpya au kukuu? Na unataka kwenda mwenyewe au kuagiza? Ushauri kawaida huwa unalipiwa. Kama hauna gharama za kulipia ushauri basi utapewa ushauri wa wa hisani. Tembelea Ofisi yetu iliyopo Mikocheni B, Mtaa wa Himo, numba namba 776, Simu namba 022 2781130 au 022 2781462 na Simu ya Kiganjani namba 0757 869488
 
Acha utapeli wewe....
 
Usiendekeze njaa mkuu
 
Umetisha, unataka kumshikia mwenzako chini
 
Mkuu software engineer ,mji gani China biashara ni cheap especially hiyo ya nguo ,nataka kwenda around mid July au nienda Thailand
 
Hata mimi Software Engineer kanichanganya kidogo ni kama kuna mtu mwingine alitype hayo maelezo kwa ID yake then yeye akaja kumalizia huo mstari wa mwisho,teh teh teh.

Nimejifunza kitu. Sikuwahi fikiria watu hawana details kama hizi.

Ndiyo maana viwanda vingi tz wanafungua wachina, bcoz watz ama hawajui mashine zilizopo china au wameshajua ku import mzigo ndiyo deal kwa sababu hata wanunuzi wenyewe hawajui hali halisi ya huko china.
 
Usafirishaji wa mzigo, ushuru na logistic zingine inakuwaje?

siku zote unaposafirisha mzigo, inategemea na wewe unataka huo mzigo usafirishwe kama loose cargo.. au full container...! ushuru wa kutoa nguo na cosmetic mara nyingi huaga mkubwa bandarini per CBM...kwahyo itategemea na agent gani utakayemtumia kutoa huo mzigo wako..kila lakheri!
 
Back
Top Bottom