Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za jioni wakuuu,mimi ni mfanyabiashara wa nguo aina zote huwa nanunua mzigo wangu Kariakooo, nataka kufata mzigo China gharama zikoje. Natakiwa niwe na sh ngapi ili niweze kununua mzigo wa kutosha anayejua anijuze
Usafirishaji wa mzigo, ushuru na logistic zingine inakuwaje?1. Nauli kwenda na kurudi: USD 1,200
2. Chakula kwa siku: USD 22
3. Hotel Single Room: USD 50
4. Nauli ya mizunguko town: USD 49 (Taxi+Metro+Daladala)
5. Mzigo wako unaotaka kununua: (Na hii tukupe jibu?): Minimum USD3,500
Usafirishaji wa mzigo, ushuru na logistic zingine inakuwaje?
Habari za jioni wakuuu,mimi ni mfanyabiashara wa nguo aina zote huwa nanunua mzigo wangu Kariakooo, nataka kufata mzigo China gharama zikoje. Natakiwa niwe na sh ngapi ili niweze kununua mzigo wa kutosha anayejua anijuze
Unataka ngua mpya au kukuu? Na unataka kwenda mwenyewe au kuagiza? Ushauri kawaida huwa unalipiwa. Kama hauna gharama za kulipia ushauri basi utapewa ushauri wa wa hisani. Tembelea Ofisi yetu iliyopo Mikocheni B, Mtaa wa Himo, numba namba 776, Simu namba 022 2781130 au 022 2781462 na Simu ya Kiganjani namba 0757 869488
Umejifunza nini Software Engineer? Mi naona kama wewe ndio umefundisha kila kitu?
Unataka ngua mpya au kukuu? Na unataka kwenda mwenyewe au kuagiza? Ushauri kawaida huwa unalipiwa. Kama hauna gharama za kulipia ushauri basi utapewa ushauri wa wa hisani. Tembelea Ofisi yetu iliyopo Mikocheni B, Mtaa wa Himo, numba namba 776, Simu namba 022 2781130 au 022 2781462 na Simu ya Kiganjani namba 0757 869488
Unataka ngua mpya au kukuu? Na unataka kwenda mwenyewe au kuagiza? Ushauri kawaida huwa unalipiwa. Kama hauna gharama za kulipia ushauri basi utapewa ushauri wa wa hisani. Tembelea Ofisi yetu iliyopo Mikocheni B, Mtaa wa Himo, numba namba 776, Simu namba 022 2781130 au 022 2781462 na Simu ya Kiganjani namba 0757 869488
Nimejifunza kuwa:-Umejifunza nini Software Engineer? Mi naona kama wewe ndio umefundisha kila kitu?
Mkuu software engineer ,mji gani China biashara ni cheap especially hiyo ya nguo ,nataka kwenda around mid July au nienda Thailand
Hata mimi Software Engineer kanichanganya kidogo ni kama kuna mtu mwingine alitype hayo maelezo kwa ID yake then yeye akaja kumalizia huo mstari wa mwisho,teh teh teh.