DOKEZO Gharama za Lipa namba ziwekwe wazi kama miamala mingine

DOKEZO Gharama za Lipa namba ziwekwe wazi kama miamala mingine

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kweli kabisa mkuu. Mteja anakuwa hakatei pesa nyingi hata wakala nae kale kakamisheni kanaongezeka halafu hakuna masuala ya kusubiri mwisho wa mwezi ni papo kwa papo unachukukua chako mapema.
Kweli, kama ni buku unaipigia hesabu hapohapo maana una uhakika imeingia
 
Watanzania wengi tunapenda Kitonga mserereko.

Mtu anataka atumie huduma isiyo na gharama.

Ujamaa wa Mwalimu bado una athari vizazi na viza

Watanzania wengi tunapenda Kitonga mserereko.

Mtu anataka atumie huduma isiyo na gharama.

Ujamaa wa Mwalimu bado una athari vizazi na vizazi
Hivi comment hii umekusudia kuitoa?, ni vema ukasoma kitu kwa nia ya kuelewa na si tu kujibu. Ni kwasababu ya kukosa elimu hizi za kifedha ndio maana tunateseka katika eneo hilo la fedha.
 
Tatizo masuala haya hakuna anayepaza sauti kuyafikisha katika ngazi husika. Na hii yote ni kutokana na watumiaji wengi kukosa elimu ya kifedha inayotufanya tunashindwa kuona athari ya pesa ndogondogo tunazopoteza kila siku. Kwa mnaotumia Lipa, tumieni makato haya aliyopost mdau, ndiyo yanayotumika kwa sasa. Hata voda makato ni hayahaya. Tatizo haya mambo ya makato hayako fixed, wanabadilisha watakavyo.
 
Shida kubwa ni hiyo uliyosema mkuu makato hayako fixed hasa upande wa voda yanabadilika kutoka laini moja hadi nyingine za voda, pia ukilipa kupitia mitandao mingine gharama zake ni kubwa sana sawa na kutoa fedha kwa njia ya kawaida.
 
Back
Top Bottom