Kweli, kama ni buku unaipigia hesabu hapohapo maana una uhakika imeingiaKweli kabisa mkuu. Mteja anakuwa hakatei pesa nyingi hata wakala nae kale kakamisheni kanaongezeka halafu hakuna masuala ya kusubiri mwisho wa mwezi ni papo kwa papo unachukukua chako mapema.
Acha roho ya kimaskini weweBINASFI NAPENDEKEZA LIPA IFUTWE AU IWE KWA WAFANYABIASHARA PEKEE NA IFUNGIWE KWA MAWAKALA WOTE YAANI IWE KAMA MWANZO MFUMO WA LIPA UNA CHANGAMOTO SANA KWA MAWAKALA
Watanzania wengi tunapenda Kitonga mserereko.
Mtu anataka atumie huduma isiyo na gharama.
Ujamaa wa Mwalimu bado una athari vizazi na viza
Hivi comment hii umekusudia kuitoa?, ni vema ukasoma kitu kwa nia ya kuelewa na si tu kujibu. Ni kwasababu ya kukosa elimu hizi za kifedha ndio maana tunateseka katika eneo hilo la fedha.Watanzania wengi tunapenda Kitonga mserereko.
Mtu anataka atumie huduma isiyo na gharama.
Ujamaa wa Mwalimu bado una athari vizazi na vizazi
Tatizo masuala haya hakuna anayepaza sauti kuyafikisha katika ngazi husika. Na hii yote ni kutokana na watumiaji wengi kukosa elimu ya kifedha inayotufanya tunashindwa kuona athari ya pesa ndogondogo tunazopoteza kila siku. Kwa mnaotumia Lipa, tumieni makato haya aliyopost mdau, ndiyo yanayotumika kwa sasa. Hata voda makato ni hayahaya. Tatizo haya mambo ya makato hayako fixed, wanabadilisha watakavyo.Hiyo hapo angalia mkuu
View attachment 2888125
Shida kubwa ni hiyo uliyosema mkuu makato hayako fixed hasa upande wa voda yanabadilika kutoka laini moja hadi nyingine za voda, pia ukilipa kupitia mitandao mingine gharama zake ni kubwa sana sawa na kutoa fedha kwa njia ya kawaida.Tatizo masuala haya hakuna anayepaza sauti kuyafikisha katika ngazi husika. Na hii yote ni kutokana na watumiaji wengi kukosa elimu ya kifedha inayotufanya tunashindwa kuona athari ya pesa ndogondogo tunazopoteza kila siku. Kwa mnaotumia Lipa, tumieni makato haya aliyopost mdau, ndiyo yanayotumika kwa sasa. Hata voda makato ni hayahaya. Tatizo haya mambo ya makato hayako fixed, wanabadilisha watakavyo.