BRAZA CHOGO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 761
- 1,984
Tafakuri gani sasa usiku huu!Matusi si mazuri, usiku wa manane ni mzuri kwa ibada na tafakuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafakuri gani sasa usiku huu!Matusi si mazuri, usiku wa manane ni mzuri kwa ibada na tafakuri.
Njoo uajiriwe wewe achana na vibwagizo!Oya baba umenena haswa
hii dunia, kila mtu aitazama kivyake.Tafakuri gani sasa usiku huu!
we niite jobless pro max ita pendeza 😂Sasa wewe si ni mkuu wa faculty ya watu sio na kazi hapa mjini jf
Nakubali jobless pro maxwe niite jobless pro max ita pendeza 😂
naam, niite raisi wa ma jobless pro maxNakubali jobless pro max
Kati ya Dar na Dodoma ukiishi Morogoro itapendeza..Nimeleta huu uzi ili tupate kidogo maarifa na tunaweza kusaidiana kimawazo
Mimi ni mzaliwa wa kanda ya ziwa huko ila nimebahatika kusoma chuo Dar moja ya chuo maarufu mjini Dar n hata baada ya kutoka chuo nikaamua kubaki Dar sasa kuna ndugu yangu mmoja akanipa mchongo wa kuja Dodoma nimekuja Dom naona kama maisha ya Dom yapo juu Bora hata na Dar.
Mfano kwa Dar ukiwa na Elfu kumi unaweza kula vizuri na ukasaza sasa kwa huku naona kama elfu kumi syo kitu coz kila kitu kipo juu mfano tumeshazoea maji ya kunywa unapta kwa mia sab ukija huku ni Buku na pia nauli iko juu coz eneo nalo kaa mimi hakuna daladala unatumia bajaji ni Buku.
Kingine ni Chumba naon bei ya vyumba ni sawa n Dar coz single bei ni 50000 mpka 60000
Kingine naona pia mzunguko wa pesa upo chin coz kipind nilikuwa nipo dar nilikuwa naweza kusave hata 15000 kwa siku ila huku tokea nimekuj sijasave hata mia ela nayopata yote nakula.
Kwangu mm naon Maisha ya Dodoma yapo juu kuliko hta Dar,Arusha na Mwanza ebu na nyie wanajukwaaa mliowai kuishi hii mikoa miwili mtupe experience zenu na unamshauri nini kijana anayetaka kuja Dom au Dar au kwa haya majiji tulionayo unaon wapi ni Bora kwenda kupambana na itakua Rahis kutoboa.
NB: Japokuwa kutoboa ni mipango ya mtu mwenyewa lakini kuna maeneo ukiwa unapambana inakuwa ni rahis kuliko maeneo mengine