Hakuna tangazo la dakika 30. Unapewa sana dakika 5 za kipindi ndio wanamega visekunde kukutajataja.
Last time nilienda ITV na Radio One pale jamaa wakanambia unachagua kuhodhi kipindi chote au kugawana na wenzako dakika za kipindi......
Kipindi kinakuwa na dakika 30 but katika hizo 30 dakika 20 hadi 25 (kutegemea na dau au idadi ya wadhamini) ndizo za kipindi hizo dakika 5 au 10 ndizo za matangazo.
Kipindi unakidhamini kwa tsh million 5, it means ni approximately tsh 20 million kwa mwezi kama utachukua pekee yako na kama mtakuwa wengi mtagawana kwa ratio ya namna mtagawana dakika.
Kipindi cha kwanza kwa maana watakapokirusha na kuonekana kwa watazamaji ndicho kitachajiwa na kile cha marudio ya wiki huwa wanafanya free.....
But kwa Maelezo zaidi, acha uoga, nenda kwenye station husika utapata maelezo kwa kina...