deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 521
Habari wadau naomba nijue gharama za matangazo ya radio na Tv mfano dk 30 au mubashara gharama zikoje? Ufafanuzi tafadhari wadau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaap, utakua umefanya jambo jema mnoo,pia matangazo ya live kwenye tv hua tsh ngapi?Niki-settle nitakuja kukuwekea hapa za media mbalimbali.
Hii message yako ndo kwanza naiona... anyway, will come back later! Sio rahisi gharama kushika kichwani coz' hata hizo za Live, inategemea ni kipindi gani na muda gani! Na kwa ujumla wake, gharama zinaangalia muda, kama ni peak or slack hours... so no fixed price.Yaap, utakua umefanya jambo jema mnoo,pia matangazo ya live kwenye tv hua tsh ngapi?
Acha kumdanganya mwenzio..kweli wajinga ndio waliwao....
kwa dhama hizi kwakweli sio ya kutegemea hizo electronic media hata kidogo
gharama zao ni kubwa sana....
kama unataka kutangaza biashara au kazi yako...nadhani online media ni bora zaidi...achana na redio ama tv....ingia instagram tu...kajitengenezee imperial yako