Gharama za matangazo kwenye radio na Tv zikoje?

Gharama za matangazo kwenye radio na Tv zikoje?

deo paul555

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2018
Posts
1,405
Reaction score
521
Habari wadau naomba nijue gharama za matangazo ya radio na Tv mfano dk 30 au mubashara gharama zikoje? Ufafanuzi tafadhari wadau.
 
Kila mmoja ana rate card tofauti na matangazo ya biashara au kitu gani pia determines the cost.
 
Hakuna tangazo la dakika 30. Unapewa sana dakika 5 za kipindi ndio wanamega visekunde kukutajataja.

Last time nilienda ITV na Radio One pale jamaa wakanambia unachagua kuhodhi kipindi chote au kugawana na wenzako dakika za kipindi......

Kipindi kinakuwa na dakika 30 but katika hizo 30 dakika 20 hadi 25 (kutegemea na dau au idadi ya wadhamini) ndizo za kipindi hizo dakika 5 au 10 ndizo za matangazo.

Kipindi unakidhamini kwa tsh million 5, it means ni approximately tsh 20 million kwa mwezi kama utachukua pekee yako na kama mtakuwa wengi mtagawana kwa ratio ya namna mtagawana dakika.

Kipindi cha kwanza kwa maana watakapokirusha na kuonekana kwa watazamaji ndicho kitachajiwa na kile cha marudio ya wiki huwa wanafanya free.....

But kwa Maelezo zaidi, acha uoga, nenda kwenye station husika utapata maelezo kwa kina...
 
Hii hapa rate card ya Times FM....hizi gharama zilikuwa za mwaka jana so you'll have to check with them kama wameongeza au la.
Screenshot_20200701-140631_Drive.jpg
 
Karibu mtangaze kwenye online Tv yetu inatembelewa na watu elfu 10 kwa siku karibu Pm garama ni nafuu
 
kweli wajinga ndio waliwao....
kwa dhama hizi kwakweli sio ya kutegemea hizo electronic media hata kidogo
gharama zao ni kubwa sana....
kama unataka kutangaza biashara au kazi yako...nadhani online media ni bora zaidi...achana na redio ama tv....ingia instagram tu...kajitengenezee imperial yako
 
Yaap, utakua umefanya jambo jema mnoo,pia matangazo ya live kwenye tv hua tsh ngapi?
Hii message yako ndo kwanza naiona... anyway, will come back later! Sio rahisi gharama kushika kichwani coz' hata hizo za Live, inategemea ni kipindi gani na muda gani! Na kwa ujumla wake, gharama zinaangalia muda, kama ni peak or slack hours... so no fixed price.
 
kweli wajinga ndio waliwao....
kwa dhama hizi kwakweli sio ya kutegemea hizo electronic media hata kidogo
gharama zao ni kubwa sana....
kama unataka kutangaza biashara au kazi yako...nadhani online media ni bora zaidi...achana na redio ama tv....ingia instagram tu...kajitengenezee imperial yako
Acha kumdanganya mwenzio..
 
Back
Top Bottom