Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Umenena vyema snWao wana access ya kwenda India kupata huduma za afya daraja la mwanza hadi daraja la pili kwa level ya kidunia, ndio maana wala hawajali kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena vyema snWao wana access ya kwenda India kupata huduma za afya daraja la mwanza hadi daraja la pili kwa level ya kidunia, ndio maana wala hawajali kabisa
Ndiyo maana mwenge unakuja kuzindua majeno badala ya vifaa tiba kama x-ray machine n.kSerikali inaamini ikishaweka majengo kazi imeisha wakati walitakiwa wawekeze kwenye kuzalisha wataalamu wengi, manesi, madaktari, matabibu, maabara na famasia lakini pia wawaajiri ikienda sambamba na kununua vifaa tiba vyenye ufanisi na vya kisasa, na kuhakikisha upatikanaji wa madawa unakua vizuri wakati wote walau kwa vituo vya afya, zahanati, hosptali za wilaya, mikoa na za rufaa ikiwemo zile za kanda
Huduma bora ya afya pia inategemea ajira za kutosha, si kwa madaktari na wauguzi tu bali wasafishaji na kuweka mazingira safi, makarani wanaohakikisha barua za rufaa zimepokelewa na kuonwa na madaktari na wagonjwa kupata miadi yao kwa wakati.Lakini pia maslahi ya wauguzi na madaktari maana Botswana daktari analipwa mara tatu hadi nne ya daktari wa Tanzania, yaani atawezaje kujisumbua kumtibu mgonjwa wakati bado anastress, akigeuka hivi vifaa tiba hakuna
Ni kwa sababu watawala hawalipi hizi gharama cashMatibabu bongo ni shida, gharama zipo juu sana! Unaenda sehemu hata kama una uwezo wa kulipia ila unajiuliza je kwa wale wananchi maskini watamudu kweli... Malaria sijui uti typhoid ukitoa unaambiwa bill elfu 40
Huduma za afya ni jumuishi snHuduma bora ya afya pia inategemea ajira za kutosha, si kwa madaktari na wauguzi tu bali wasafishaji na kuweka mazingira safi, makarani wanaohakikisha barua za rufaa zimepokelewa na kuonwa na madaktari na wagonjwa kupata miadi yao kwa wakati.
Lameck anawaza njia nyingine ya kutukamua si kutusaidia.
Watu wana hki ya kumkataa rais na chama chakeHiyo 40,000 ukirushiwa na mwanao ulipie matibabu inakatwa tozo la miamala.
Ni kwel kbisa niliwahi kwenda hospital nafika mapokezi kuna mama mtu mzima kiasi akaambiwa kufungua file 6000 ikabidi arudi tu kwake kwa sababu hyo pesa hakua nayoMatibabu bongo ni shida, gharama zipo juu sana! Unaenda sehemu hata kama una uwezo wa kulipia ila unajiuliza je kwa wale wananchi maskini watamudu kweli... Malaria sijui uti typhoid ukitoa unaambiwa bill elfu 40
Sasa file elfu 6 eti... Mm naona ni bora elimu watu walipie watoe hiyo elimu bure afu hiyo ruzuku iingizwe kwenye huduma za afya kila dawa au huduma serikali ichangie aslimia 50 na mwananchi 50 kama kufanya bure haiwezekaniNi kwel kbisa niliwahi kwenda hospital nafika mapokezi kuna mama mtu mzima kiasi akaambiwa kufungua file 6000 ikabidi arudi tu kwake kwa sababu hyo pesa hakua nayo
Wewe na Ndugai ni ndugu!?Mbona huongelei gharama za mawakili au shule?
Sio jambo jepesi kwa sababu hatuna watu sahihi wa kutufikisha huko... Bora ruzuku ya elimu bure ije kwenye afyaNi changamoto sana. Jawabu ni wananchi wote kupata bima ya afya, na hili si jambo jepesi. Ikiwa uchumi utaimarika nafikiri itawezekana kwa wafanyakazi na wafanya biashara wote kuchangia bima ya afya ili kuwezesha wananchi wasio na kipato kupata angalau bima ya kiwango cha chini. Kwa kufanya hivyo tutaweza kuwapatia wannchi wote bima ya afya.
Mtu anayeua huduma za afya Tanzania ni mwananchi na serikali yake. Unaposema gharama ni kubwa unalinganisha na nchi gani?Wadau, nimekuwa mhanga wa gharama za matibabu hali iliyonisukuma kuandika mada hii.
Aidha, nimeguswa kwa masikitiko kauli mbalimbali za viongozi wetu katika suhala la afya nchini.
Nategemea na ukoo wangu, ivyo, sinashaka mnafahamu ninavyosumbuka.
Hali hii inanifanya kuwaza kipi bora kufanywa na Serikali kwa Sasa; Kuendelea kujenga majengo au kuongeza upatikanaji wa dawa au kutoa ruzuku kwa sekta ya afya ili gharama zishuke?
Jamani, hali ni mbaya, watu wanashindwa kumudu gharama za afya na kupelekea watu kununuwa vijidawa bila vipimo au kutibiwa kienyeji na wengine kufia majumbani.
Tumezika Jana dada yetu ambaye alilazwa hospitali Fulani na baada ya kuzidiwa, akapewa rufaaa kwenda Mhimbili, kilichotokea ni uzuni, mume alilia Kama amechomwa moto na kulazimisha mgonjwa apewe ruhusa arudishwe nyumbani. Dokta alimruhusu na kafa nyumbani.
Tulipomuuliza shemu, alijibu heri nimzike mwenyewe kuliko Jiji.
Nashauri tozo zielekezwe katika ruzuku ya matibabu na ziada tu ndo iangalie ujenzi mpyaa.
Pia, ruzuku isaidie kushusha gharama za kukata bima ya afya kwa wananchi.
Zaidi, nashauri kuundwa kwa mamlaka ya kudhibiti gharama za matibabu nchini.
Nawasilisha
Kuna Jambo katika bima ya afya. Lisipoangaliwa hata mifuko hiyo itafilisika. Ni hospitari ngapi wanatoa fomu za kusaini kukiri huduma alizopatiwa mgonjwa? Wanasaini wenyewe kwa gharama wanazijuwa wenyewe.Ni changamoto sana. Jawabu ni wananchi wote kupata bima ya afya, na hili si jambo jepesi. Ikiwa uchumi utaimarika nafikiri itawezekana kwa wafanyakazi na wafanya biashara wote kuchangia bima ya afya ili kuwezesha wananchi wasio na kipato kupata angalau bima ya kiwango cha chini. Kwa kufanya hivyo tutaweza kuwapatia wannchi wote bima ya afya.
Mtu anayeua huduma za afya Tanzania ni mwananchi na serikali yake. Unaposema gharama ni kubwa unalinganisha na nchi gani?
Tunapata huduma duni kwa sababu tunataka tulipie kidogo halafu tupate kikubwa. Fanya ulinganifu wa gharama za matibabu Aga Khan ukalinganisha na huduma zake.
Mtu anaweza sema aah sisi ni nchi maskinu, ndio ni maskini, lakini madawa na vifaa tiba tunanunua kwenye masoko yaleyale ya dunia, ambayo na wenzetu wananunua. Ukiona maabara ya Lancet hapa Regency inafanya kipimo 150,000/= tena wao wakiwa na makubaliano ya moja kwa moja na kampuni kubwa za kutengeneza mashine kama Abbot, halafu mgonjwa wa cash kwa kipimo hicho analipa 45,000/= jirani Muhimbili au NHIF inawalazimisha hospitali zote zitoazo huduma za kipimo hicho watoe kwa gharama ya 30,000/= unategemea nini hapo? Huduma haitakuwa endelevu wala bora. Maana tunapanga bei kwa kutoangalia uhalisia wa gharama halisi ya kitu fulani kwa vitu tusivyozalisha sisi.
Unajua kama mtu anataka asajili dawa X nchini Tanzania, labda dose ya miligram Z usajili wake ni zaidi ya milioni 30 pale TMDA? Unajua hizi gharama zinahusu kupeleka watumishi wa TMDA kutembelea hicho kiwanda kama kiko India, US, Taiwan n.k? Unajua nikitaka tena nisajili dose nyingine ya dawa hiyohiyo toka kiwanda hichohicho walichokagua itabidi mtu atoe pesa nyingine tena kwa haohao TMDA. Unajua dawa yoyote ile inasajiliwa kwa gharama kubwa nyingine usajili wake unakufa kwa sababu hailipi, labda matumizi yake madogo na hivyo wafanyabiashara wanapata hasara, ingawa bado inahitajika kwa wagonjwa?
Unajua kodi zilizopo za kuingiza dawa na vifaa tiba? Unajua TRA, TBS na TMDA wanachukua kiasi gani?
Unafahamu kwamba watanzania hawajaui maana ya bima? Mtu akiwa mzima hahangaiki na Bima ila akiwa anaumwa ndio anaanza kutafuta bima? Yaani ukianza kuumwa ndio wataka ujiunge na mifuko ya bima ya afya. Nani kawaambia kwamba serikali ndio inaweka pesa za matibabu kule kwenye mifuko ya bima ya afya? Hii ni sawa na mtu ambaye hakuwa na Bima ya gari lakini inapopata ajari anataka akakate bima ili alipwe.
Unajua wagonjwa walewale wanaolipa pesa nyingi hospitali binafsi kama Ikonda wakienda hospitali ya serikali hawataki kuchangia huduma za matibabu bali wataomba msamaha? Wanasema hii ni hospitali ya serikali.
Unajua kwamba serikali kipindi kirefu sana inadanganya wananchi kuhusu cost sharing? Serikali haipeleki pesa halisi kwa hizi hospitali zilizo chini yake? Watu wanalalamika hospitali za mikoa kwenda kufa. Hospitali inashindwa kununua hata vifaa vya usafi kwa sababu pesa iko kapu kuu na hairudishwi kwa wazalishaji.
Tatizo kubwa la Watanzania na Serikali ambao ndio wahusika wakubwa wa kuua afya ni:-
1. Watanzania kuwa na mentality ya Afya bure. Waliharibiwa na mfumo wa Nyerere, kuamini afya ni bure. Mtu anaweza tumia laki 5 bar, lakini kutumia kiasi hicho kwenye afya ni nongwa. Afya haijawahi kuwa bure, ukinunua dose ya malaria elfu 4 kuna mtu kalipa elfu 8. Bahati mbaya serikali haifanyi chochote kuwaondoa kwenye imani hiyo. Hivi inakuwaje mtu anaamua kumpa mimba mwanamke, halafu kwenye uzazi wanaipigia kelele serikali na serikali inawasikiliza? Huyo mtoto akizaliwa kama uzazi tu ilikuwa tatizo, ataweza kupata matumizi mengine? Tunadanganyana.
2. Serikali isidanganye wananchi kwamba wanacholipa ni cost sharing. Serikali investment yake kwenye afya haifiki hata asilimia 10. Waache vituo vya afya vipange gharama halisi. Serikali yetu haina uwezo wa kuwekeza vya kutosha kwenye afya, na ikiri hilo kuwaandaa wananchi.
3. Watu wengi wajiunge na mifuko ya bima ya afya. Ile sheria ipitishwe haraka.
4. Serikali ipunguze uwingi wa vyuo vya afya ambavyo havina sifa na vinazalisha watumishi wengi wasio na sifa na wamejazana mitaani.
5. Wanasiasa wasiingilie udahiri wa vyuo, kwani kuna wanafunzi wanaingia vyuoni na kisha kuwa watumishi wa afya ambao ukimwona mara mbili unajiuliza hivi huyu alifanyiwa udahiri kabla ya kupokelewa na chuo. Kuna wengine wanafanyiwa udahiri wakiwa na uwezo mdogo sana. Tuachane na imani kwamba mtu aliyeota ndoto kuwa daktari, basi hata kama hakufaulu vizuri basi tuhakikishe anasomea udaktari.
6. NHIF iweke gharama halisi za huduma wanazopaswa kulipa pale wanachama wake wanapopata huduma hiyo, wasiweke gharama za huduma kwa kukisia wakiwa majumbani mwao.
7. Serikali iondoe tozo mbalimbali za kusajili dawa na vifaa tiba zilizoko TRA, TMDA na TBS, kwa sababu mwisho wa siku zitamuumiza mwananchi tunayetaka kumtetea kwa gharama ya mtoa huduma.
8. Watanzania wajue sisi Tanzanianni kati ya nchi ambazo gharama za matibabu zipo chini zaidi ya uhalisia. Lakini kubwa zaidi, gharama za matibabu huwa hazitolewi bure. Hizi mentality ya kutaka kulipia kidogo ili upate kikubwa zitafanya ubora wa huduma zetu za afya siku zote ziwe mkiani.
Izo ni nadhalia zilizoganda kwako na wasomi wengi, bila kujikombowa utoki kwenye fikra hizo.Mtu anayeua huduma za afya Tanzania ni mwananchi na serikali yake. Unaposema gharama ni kubwa unalinganisha na nchi gani?

Pamoja na hizo gharama kuwa chini ,bado watu wanakufa kwa kukosa huduma za afya kisa hawana hela.Mtu anayeua huduma za afya Tanzania ni mwananchi na serikali yake. Unaposema gharama ni kubwa unalinganisha na nchi gani?

Naungana na maoni yako kwa asilimia mia ila napingana na ww kubariki TOZO hii TOZO ni wizi kabisa inatuumiza wengi na tunaisoma namba kweliekweliWadau, nimekuwa mhanga wa gharama za matibabu hali iliyonisukuma kuandika mada hii.
Aidha, nimeguswa kwa masikitiko kauli mbalimbali za viongozi wetu katika suhala la afya nchini.
Nategemea na ukoo wangu, ivyo, sinashaka mnafahamu ninavyosumbuka. Hali hii inanifanya kuwaza kipi bora kufanywa na Serikali kwa Sasa; Kuendelea kujenga majengo au kuongeza upatikanaji wa dawa au kutoa ruzuku kwa sekta ya afya ili gharama zishuke?
Jamani, hali ni mbaya, watu wanashindwa kumudu gharama za afya na kupelekea watu kununuwa vijidawa bila vipimo au kutibiwa kienyeji na wengine kufia majumbani.
Tumezika Jana dada yetu ambaye alilazwa hospitali Fulani na baada ya kuzidiwa, akapewa rufaaa kwenda Mhimbili, kilichotokea ni uzuni, mume alilia Kama amechomwa moto na kulazimisha mgonjwa apewe ruhusa arudishwe nyumbani. Dokta alimruhusu na kafa nyumbani. Tulipomuuliza shemu, alijibu heri nimzike mwenyewe kuliko Jiji.