>> usitoe michango wala kuomba michango <<<
misosi ya karamuni ina vibe lake mjuba, ya kujilia home haina vibeKama mchango ni 50k bora ukanunue kuku wako na makorokoro mengine upike mwenyewe nyumbani kwako
Roho yako haina hadhi ya kuchangia harusi kiuhalisia, una uroho. Unasaidia mtu ili ufaidike wewe.Hivi karibuni kwenye mijadala ya harusi, gumzo limekuwa kadi za mchango. Ukitazama kadi, single unachangia elfu 50, double elfu 90. Hapo mtu anajisikia kama amenunua Tiketi ya Mechi fulani, kumbe unakwenda kuwapiga tafu watu katika harusi yao. Lakini ukifika, unakutana na ujumbe kuwa: “Chakula hakipakuliwi kiholela, kuna catering service waliobobea katika kupakua chakula.”
View attachment 3471398
Sasa mtu anabaki kushangaa, hivi hela yangu niliyoitoa kwa moyo mmoja ni mchango au ni tiketi ya chakula cha kupimwa? Kwanini kwenye harusi watu wanajiona kama wameingia kwenye mgahawa wa five star hotel ya Dubai? Na mbaya zaidi, ukitamka kidogo tu, “mimi leo nataka nyama tu,” unachunguliwa kana kwamba umetukana bibi harusi mbele ya maharusi wote, na wakati mwingine kupewa mifupa.
View attachment 3471397
Jamani, kama mtu hajui, nyama ndiyo kiburudisho kikuu wa sahani. Wali, ndizi na chapati ni wachezaji wa akiba tu. Mchango wangu ni kama mzazi wa mjukuu, siwezi kupewa kipimo cha kijiko kimoja cha nyama eti kwa sababu kuna “uwiano.”
View attachment 3471399
Lakini, tuseme ukweli, hizi harusi zetu zinatufundisha kitu: mchango si bei ya chakula, ni kuunga mkono. Ila basi, wenyeji wakumbuke, ukimpa mtu kadi ya mchango, usimfanye ajisikie kama ameingia kwenye jaribio la kidiplomasia la kula kwa mizani.
View attachment 3471400
Weka ucheshi, acha watu wale mchele, nyama ipate wadau, na watu wabaki na kumbukumbu tamu badala ya kumbukumbu za kuhesabiwa idadi ya nyama.

Acha fix zako nawee, uongo mtupuu. LolRoho yako haina hadhi ya kuchangia harusi kiuhalisia, una uroho. Unasaidia mtu ili ufaidike wewe.
Kuna harusi za jamaa na ndugu zetu wa mbali tunachangia na tunashindwa kwenda, je nazo tuombe delivery ya chakula. Harusi ya mwisho nilochangia last month hata sijui imefanyika mkoa gani.
Badala ya kuchanga hiyo 50k wewe nunua kuku ule maana inaonekana kuku ni vitu vya kukugombanisha na watu.
Watu wanajua umechanga kwa upendo kumbe unategeshea ubebe mfuko wa Rambo ukaponee kuku nyumbani.
Uolewe sasa na sisi tuje kula.Wale wakuhesabiwa vinywaji, tujuane.