Gharama za mobile banking zinatisha, ni ujambazi kwelikweli

Gharama za mobile banking zinatisha, ni ujambazi kwelikweli

Rolla Patrick

Member
Joined
Aug 24, 2021
Posts
31
Reaction score
114
Dah sijui tunaelekea wapi, hizi huduma zilipaswa kutupa unafuu wananchi kufanya miamala bila usumbufu lakini imekua ujambazi hasa hasa.

Niliwahi kuhamisha laki mbili kutoka Benki kwenda mpesa nikakatwa 11,000/= hapo bado sijakutana na Makato ya mpesa, nikajikuta nakatwa karibu 16000/= kupata 194,000 sijui, nikabaki nimeduwa.

Ukitoa hata 40000 wanakata 6000/= Makato ya mpesa/tgopesa/Airtel money utakutana nayo juu kwa juu.

Jana nimenunua vocha ya 2000 kutoka mobile banking naangalia statement wamekataa 700/= anyway sawa tu IPO siku kitaeleweka tu maana washatuona misukule.

Nimefuta app zao zote ila najua hata kwenye atm ni yaleyale.
 
Mi huwa nachukua usafiri kufuata ATM simbanking nimeachaga kitambo sana
 
Mi huwa nachukua usafiri kufuata ATM simbanking nimeachaga kitambo sana
Lkn sikuhizi wameadvance ukitoa kwa kupitia app unauwezo wa kwenda kuichukulia kwenye atm na makato ni yale yale kama ungetoa kwenye atm card
 
Si MNASEMA MAMA ANAUPIGA MWINGI MBAKA UNAMWAGIKA NYIE MLIKUA MNALISHWA MATANGO POLI NA MKALA SASA HAMUISHI KUYAMBAYAMBA KARIBUNI DUBAI [emoji1787][emoji1787]
 
Lkn sikuhizi wameadvance ukitoa kwa kupitia app unauwezo wa kwenda kuichukulia kwenye atm na makato ni yale yale kama ungetoa kwenye atm card
Yaani nitumie app lets say ya NBC nikatote kwa wakala wa Airtelmoney hizi ni transactions mbili Bank ale na Mpesa ale haiwezi kuwa sawa
 
Back
Top Bottom