Gharama za mobile banking zinatisha, ni ujambazi kwelikweli

Gharama za mobile banking zinatisha, ni ujambazi kwelikweli

Makato ni makubwa hivi airtel wanakata sh ngapi simbanking kwa menu yao ya *150*03#
 
Ikiwezekana hata hiyo atm unaachana nayo bora uende counter tu ukatoe

Ova
Counter ni gharama zaidi ..niliwah taka toa wakaniambia kutolea counter ni gharama nno i think waliniambia kitu kama 7000 while atm ilikua less than a thousand
 
Mm juzi nlijikuta napigwa na butwaa...why?Ipo hivi nlihamisha sh.8000/= kutoka NMB kwenda CRDB kwa kutumia Nmb mobile asee nlijikuta nmekatwa sh.10,000/=kama gharama za kutuma hiyo hela.
 
Niliachana na haya madude aisee maana makato yake ni hatari....solution ni kuwa na safe yako home au km una pesa nyingi tia kwenye sarafu mtandao angalau iwe inadharisha ata ukitoa unakuwa umefidia hayo makato pesa yako inabak palepale
 
Yaani nitumie app lets say ya NBC nikatote kwa wakala wa Airtelmoney hizi ni transactions mbili Bank ale na Mpesa ale haiwezi kuwa sawa
Hujanielewa mkuu,iko hivi mimi ni mdau wa bank (a) sasa kupitia hii app yetu ninauwezo wa kutoa pesa via atm bila kuwa na atm card na pesa nikachukulia kwenye kituo chochote cha atm mashine.
 
Huyu mama haoni aibu Kila sehemu anachukua pesa zetu huku rasilimali tele watu wanapiga tu
 
Mm juzi nlijikuta napigwa na butwaa...why?Ipo hivi nlihamisha sh.8000/= kutoka NMB kwenda CRDB kwa kutumia Nmb mobile asee nlijikuta nmekatwa sh.10,000/=kama gharama za kutuma hiyo hela.
Pole nilihamisha pesa kiasi cha tsh 50000 kutoka simbanking kwenda ac ya nmb makato niliyoyakuta niliumia sana roho nilikatwa 16000 elfu mwezi uliopita wa nane
 
Makato ni makubwa hivi airtel wanakata sh ngapi simbanking kwa menu yao ya *150*03#
CRDB hao. Makati vile vile tu. Mfano kutoa 50,000 kuleta Mpesa kisha kuitoa iyo upate Cash.

Ni bora uchukue boda uende ATM na kurudi.

Maana unaweza katwa hapo jumla ya 10,000 na kuendelea.
 
Back
Top Bottom