Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kwani ukishamlipa mshahara hayo mengine hata ashinde njaa au ale oxygen wewe (under capitalist motto) yanakuhusu nini
Tatizo langu mimi ni hizi Kodi za Serikali mfano Bundle, Taka, Fire na utitiri wa Kodi zisizo na maana (Tozo kibao lakini hakuna wanachofanya) No value for Money