Gharama za sikukuu

Gharama za sikukuu

trust 1

Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
84
Reaction score
73
Wakuu mambo ni vipi!! Natumai mmemaliza msimu wa sikuu kwa nguvu zote!! Nilitaka tushee uzoefu wa matumizi kwa msimu huu wa sikukuu!!!

Kwa upande wangu nilipanga kutumia laki 6 tu, ila wiki ya Christmas ikanivurugia hesabu kabisa maana nilikua mji wa masela wangu wengi, kunywa bia sana nakuja shituka ni ijumaa ya tarehe 27, mpunga umekata ikabidi niongeze 200k na nirudi nikae na familia tu kwa ajili ya mwaka mpya, ila bia za 600k zimenivuruga sana.
 
Sii ulifurahi na kuburudika na masela mzeya....
 
Ni vyema kipindi cha sikukuu kutumia pesa kununua vitu ambavyo mtu hauna mfano; kiwanja, furnitures, usafiri

Kuliko kutumia hiyo 800k yote for nothing labda kama una fedha za kutosha.
Tutumie kipindi cha Sikukuu kujiimarisha zaidi.
 
Nitazingatia haya mkuu, maana vijana tunapoteza sana, ukipiga hesabu kwa wote tuliokuwepo ni almost 10m imepotea kizembe kabisa, Bora tungeshauriana tufanye investment ya pamoja
 
Wakuu mambo ni vipi!! Natumai mmemaliza msimu wa sikuu kwa nguvu zote!! Nilitaka tushee uzoefu wa matumizi kwa msimu huu wa sikukuu!!!

Kwa upande wangu nilipanga kutumia laki 6 tu, ila wiki ya Christmas ikanivurugia hesabu kabisa maana nilikua mji wa masela wangu wengi, kunywa bia sana nakuja shituka ni ijumaa ya tarehe 27, mpunga umekata ikabidi niongeze 200k na nirudi nikae na familia tu kwa ajili ya mwaka mpya, ila bia za 600k zimenivuruga sana.
Hatariiiii
 
Sikukuu hz nimekumbuka ambavyo zaman nilkuwa natumia laki 300,000 na wakat huo kazi zangu zilikuwa za kuteseka

Nashukuru sikukuu za mwaka huu nimejifungia mwenyew na familia,nilitoka siku moja tu tena mwenyew,gharama kiujumla haijazidi 100,000 sikununua nguo za wanafamilia hali ni tete
 
So poa + nyama za kitimoto, na route za Bata, imeniuma sana, Nina mpango wa kupunguza sana bia mwaka huu, maana dah
Bro money spent on u sio suala la kuregret...bora umekula hela yako mzeya ndio maisha hayo
 
Kibamia kimevuka salama au kilishurutishwq usiku wa mwaka mpya?😅

Happy New Year Mkuu wa Kaya 🍾🥂.
Nashukuru mpaka sasa kibamia hakijsona mbususu....ni matumaini yangu kibamia hakitaona mbususu mwaka 2025 wote
 
Bora walau kipate nafasi ya kurefuka refuka kidogo kipumzike kuchongwa chongwa kama penseli kwenye kichongeo 😜😜.

Walau siku ukikutana na nyashi ya kinyaturu au kihaya iweze kushenyenta vizuri isikuabishe 😁😁😁🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️.

Si unajua akiba huwa haiozi...😅.
 
Mie nataka mtoto wakinyamwezi bwana nimshenyete vilivyo na kibamia changu
 
Back
Top Bottom