trust 1
Member
- Aug 5, 2017
- 84
- 73
Wakuu mambo ni vipi!! Natumai mmemaliza msimu wa sikuu kwa nguvu zote!! Nilitaka tushee uzoefu wa matumizi kwa msimu huu wa sikukuu!!!
Kwa upande wangu nilipanga kutumia laki 6 tu, ila wiki ya Christmas ikanivurugia hesabu kabisa maana nilikua mji wa masela wangu wengi, kunywa bia sana nakuja shituka ni ijumaa ya tarehe 27, mpunga umekata ikabidi niongeze 200k na nirudi nikae na familia tu kwa ajili ya mwaka mpya, ila bia za 600k zimenivuruga sana.