Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unashingap?Habari za leo wana JF.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kufahamu makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba ya kisasa ya vyumba 3 (Kimoja master na viwili vya kawaida), sebule, dinning, jiko, store na Public toilet.
Cheers
Ngoja waje ila kingine ni mkoa husika unaojenga hiyo.Boma lake haitazidi milioni 10
Ipo 28M mkuu.Unashingap?
Ipo 28M mkuu. Kiwanja kipo Babati eneo flat kabisa.ulinza kuanzaa boma , maana kwenye finishing kuna pesa ndefu ni wewe hata ukitaka kuweka mlango wa milion 2.
Naomba uni connect na fundi mzuri ambaye anaweza kunifanyia kazi kwa hiyo bei mkuu.Boma lake haitazidi milioni 10
Namaanisha pasho ya kupigiwa thathiminiIpo 28M mkuu.
Ipo hela ya vocha tu mzee kwaajili ya makadirio. Maana natafuta rough estimation kama itaendana na budget yangu tufanye kazi.Namaanisha pasho ya kupigiwa thathimini
28 mpaka finishing?Ipo 28M mkuu. Kiwanja kipo Babati eneo flat kabisa.
Noted mkuu.28 haitoshi, andaa 33m hadi 35. Utaikumbuk comment yangu.
28, tengeneza viwili
20x18x600,000=216,000,000/-chukua size (square metre) ya nyumba yako yote zidisha mara 600,000.
Mkuu tuma ramani nikupe makadirio na tukufanyie kazi kama tutaeleeana.Habari za leo wana JF.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kufahamu makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba ya kisasa ya vyumba 3 (Kimoja master na viwili vya kawaida), sebule, dinning, jiko, store na Public toilet.
Cheers
Siku hiz na wewe ni fundiUnashingap?
Duuuuh Kama nyumb in 2 0m * 18m basi ni kubwa sanaa, utagharamika sana. Nifate pm nikudesign ndogo ya vyumba vitatu.20x18x600,000=216,000,000/-
Mbona ipo juu sana 🤷