Gharama za ujenzi (3 bedroom house)

Gharama za ujenzi (3 bedroom house)

Habari za leo wana JF.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kufahamu makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba ya kisasa ya vyumba 3 (Kimoja master na viwili vya kawaida), sebule, dinning, jiko, store na Public toilet.

Cheers
Una mchoro? Kama unao, tafuta QS akupigie hesabu. Kama hauna, tafuta architect akutayarishie. Shida yenu ni kuwa mnabania sana katika hatua za awali na kuwaamini zaidi mafundi mchundo wenzangu kuliko wataalam.

Amandla...
 
Asante mkuu kwa ushauri
 
chief unajua maana ya fundi mchundo?. practically fundi mchundo ni mtaalamu na kiingereza za fundi mchundo ni technician sasa unavyosema asiwaamini wakati wao ni wataalamu tena fundi mchundo yuko more practical. michoro midogo midogo anachora, boq anatengeneza na bado practically site yuko vizuri sasa sijui ww fundi mchundo unamaanisha nn?. maana fundi mchundo ni wenye diploma ya civil engineering na wengi wamesoma dit, arusha tech au must. wako vizuri mnoo
Una mchoro? Kama unao, tafuta QS akupigie hesabu. Kama hauna, tafuta architect akutayarishie. Shida yenu ni kuwa mnabania sana katika hatua za awali na kuwaamini zaidi mafundi mchundo wenzangu kuliko wataalam.

Amandla...
ct
 
Nyumba ya vyumba vitatu ndio iwe na sqm 360? Omba uchorewe ramani ya sqm 100-120
Chukua huu ushauri hapa, pia hakikisha design ya paa lako isiwe complicated hasa hasa ujenzi wa kishamba wa paa la kuchongoka.

Weka roof pitch ya kawaida tu 25-30 degrees. Hii itapunguza gharama kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na roof pitch yenye zaidi ya 45 degrees.

1727378026196.png
 
View attachment 3107686
Asante sana mkuu. Nimeichukua hii
 
chief unajua maana ya fundi mchundo?. practically fundi mchundo ni mtaalamu na kiingereza za fundi mchundo ni technician sasa unavyosema asiwaamini wakati wao ni wataalamu tena fundi mchundo yuko more practical. michoro midogo midogo anachora, boq anatengeneza na bado practically site yuko vizuri sasa sijui ww fundi mchundo unamaanisha nn?. maana fundi mchundo ni wenye diploma ya civil engineering na wengi wamesoma dit, arusha tech au must. wako vizuri mnoo

ct
Nitaachaje kujua wakati mimi ni mmojawapo? Kisheria haturuhusiwi kutayarisha michoro ya nyumba ya aina yeyote. Kujua kuchora hakuna maana kuwa tunauwezo wa kubuni. Manispaa hazitambui michoro yetu bila mhuri wa Architect.

Inawezekana tunajua ku take off lakini hiyo haimaanishi kuwa tunauwezo wa kutayarisha BoQ.
Ila kwa vile watanzania wanapenda mteremko tutaendelea kupata tenda. Ni kama vile watanzania wanaamini zaidi diagnosis ya mfamasia au nesi kuliko ya daktari.

Ukweli unajulikana linapotokea tatizo.

Amandla...
 
Una mchoro? Kama unao, tafuta QS akupigie hesabu. Kama hauna, tafuta architect akutayarishie. Shida yenu ni kuwa mnabania sana katika hatua za awali na kuwaamini zaidi mafundi mchundo wenzangu kuliko wataalam.

Amandla...
Tatizo hao maengineer wenu wanakula pesa alafu site hakai
 
Sidhani kama ni kazi ya engineer kukaa site kwenye miradi kama hii. Kazi yake ni usimamizi na ushauri. Sisi mafundi mchundo ndio watu wa site.
Hata hivyo nakubaliana na wewe kuwa kuna engineers wabovu na mafundi mchundo wabovu. Ni wajibu wa mwenye mradi kufanya utafiti wa kutosha ili kupata wanaomfaa na watakaotimiza wajibu wao.

Amandla...
 
Nitaachaje kujua wakati mimi ni mmojawapo? Kisheria haturuhusiwi kutayarisha michoro ya nyumba ya aina yeyote. Kujua kuchora hakuna maana kuwa tunauwezo wa kubuni. Manispaa hazitambui michoro yetu bila mhuri wa Architect.

Inawezekana tunajua ku take off lakini hiyo haimaanishi kuwa tunauwezo wa kutayarisha BoQ.
Ila kwa vile watanzania wanapenda mteremko tutaendelea kupata tenda. Ni kama vile watanzania wanaamini zaidi diagnosis ya mfamasia au nesi kuliko ya daktari.

Ukweli unajulikana linapotokea tatizo.

Amandla...
Mkuu Fundi mchundo ambaye amekuwa serious na kazi yake na ana exposure yakutosha kwenye fani. hakuna ambacho hawezi kukifanya zaidi ya structural designing. kama ww ni Fundi mchundo na Boq huwezi kutengeneza mpaka leo( you have alot to learn kuhusu industry yako).

nimefanya kazi na mafundi mchundo walio very competent sana. ndo maana ERB inampa acess fundi mchundo kuanzisha kampuni as a technical personell

kisheria kutokutambulika hakukufanyi ww ushindwe kujua kuhusu industry yako huku street. michoro inachorwa na mafundi mchundo wengi tu ikifika swala la mihuri kisheria inaruhusiwa architect kuverify hiyo michoro kama iko standard na akapiga mihuri yake the same is applied to quantity surveyor's
 
ERB inahusika vipi hapa? Ni kweli michoro mingi inachorwa na mafundi mchundo na mingine inauzwa kama njugu humu humu. Lakini hiyo haina maana kuwa wamekuwa qualified kuitayarisha. Ingekuwa hivyo wasingehitaji kumpelekea mtu mwingine mihuri. Sehemu kubwa ya nyumba Tanzania zinajengwa na mafundi wasiokuwa na cheti chochote. Hawa wamepata uzoefu kazini. Haina maana wako qualified?

Kama nilivyosema hapo awali watu wengi wakiugua kimbilio lao la kwanza ni kwa nesi anayeishi jirani au famasi. Manesi na mafamasia wana diagnose sana na kuchoma sindano bila ushauri kutoka kwa madaktari. Hiyo haiwageuzi manesi na mafamasia kuwa madaktari. Wataendelea kutoa huduma mpaka siku mteja wao atakapopata matatizo.

Na mafundi mchundo watazidi kujiona hawana tofauti na ma architects, quantity surveyors na wahandisi mpaka siku jengo likianguka na kuua mtu.
Mimi nilitoa ushauri tu. Sio lazima kuufuata.

Ndugu ukiji underate wewe kama fundi mchundo. usiwa underate wenzako unasema ERB wanaingiaje hapo kwakweli huelewi hata industry yako. ERB ndo wanarecognize kazi zote za kitaalamu za uhandisi hapa Tanzania ndio maana mafundi mchundo wanatambulika na ERB kimajukumu yao na ngazi walio kuwa nazo na aina ya kazi wanazotakiwa kuzifanya kutokana na ngazi walizo nazo na experience ya miradi walio nayo.

sio ajabu hata hujui umuhimu kama fundi mchundo kuwa registered na bodi ya ERB.
sijui chuoni huwa mnaenda kufanya nini. nenda angalia kazi anazo ruhusiwa kufanya senior civil technician kutokana na standards za ERB alafu ndo uje ukoment hapa kwamba akifanya mradi wa gorofa utadondoka
Fundi mchundo ndo watendaji wakuu hao wote ma engineer, Qs na architects ni designing team ila watendaji wakuu ni technicians. kila mtu ana play part yake kusema kwamba fundi mchundo anaweza kufanya kazi zote sio kwamba nimewaoondoa kimajukumu wengine ila kuna sehemu fundi mchundo anaishia na engineer anaanzia hapo. lakini sio kusema sio mtaalamu.

Narudia kusema hivi. sheria inaruhusu fundi mchundo, kuchora ramani, kufanya Boq n.k. ila chini ya uangalizi wa engineer, architects and Qs
 
Ndugu ukiji underate wewe kama fundi mchundo. usiwa underate wenzako unasema ERB wanaingiaje hapo kwakweli huelewi hata industry yako. ERB ndo wanarecognize kazi zote za kitaalamu za uhandisi hapa Tanzania ndio maana mafundi mchundo wanatambulika na ERB kimajukumu yao na ngazi walio kuwa nazo na aina ya kazi wanazotakiwa kuzifanya kutokana na ngazi walizo nazo na experience ya miradi walio nayo.

sio ajabu hata hujui umuhimu kama fundi mchundo kuwa registered na bodi ya ERB.
sijui chuoni huwa mnaenda kufanya nini. nenda angalia kazi anazo ruhusiwa kufanya senior civil technician kutokana na standards za ERB alafu ndo uje ukoment hapa kwamba akifanya mradi wa gorofa utadondoka
Fundi mchundo ndo watendaji wakuu hao wote ma engineer, Qs na architects ni designing team ila watendaji wakuu ni technicians. kila mtu ana play part yake kusema kwamba fundi mchundo anaweza kufanya kazi zote sio kwamba nimewaoondoa kimajukumu wengine ila kuna sehemu fundi mchundo anaishia na engineer anaanzia hapo. lakini sio kusema sio mtaalamu.

Narudia kusema hivi. sheria inaruhusu fundi mchundo, kuchora ramani, kufanya Boq n.k. ila chini ya uangalizi wa engineer, architects and Qs Tanroads wana CAD technicians michoro mingi inachorwa na wao. engineer anacheck na kuverify ile michoro. ndo maana kwenye title block kuna mahali drawn by and approved by. engineer ana approve na kuverify
 
Back
Top Bottom