Keyser Söze
JF-Expert Member
- Mar 12, 2013
- 454
- 666
Tafuta fundi mtaalam wa kupaua hizi contemporary, siyo fundi wa kupaua tu. Na hakikisha kwenye makutano ya paa na tofali mnaweka Bitumat Synroof HB+Bitumat fabric, hii ni muhimu kuliko hata hiyo kuflash.Vp tunaweza fanya kazi ya paa kuweka hizo kitu mkuu! tumeipenda hiyo design...maana kuna nyumba ya familia inaleta shida...na fundi wa kitaaa anasema itawekwa cement haitavuja. Tunataka tumkatae, mafundi wanatofautiana na technology pia.