Keyser Söze
JF-Expert Member
- Mar 12, 2013
- 454
- 666
Tafuta fundi mtaalam wa kupaua hizi contemporary, siyo fundi wa kupaua tu. Na hakikisha kwenye makutano ya paa na tofali mnaweka Bitumat Synroof HB+Bitumat fabric, hii ni muhimu kuliko hata hiyo kuflash.Vp tunaweza fanya kazi ya paa kuweka hizo kitu mkuu! tumeipenda hiyo design...maana kuna nyumba ya familia inaleta shida...na fundi wa kitaaa anasema itawekwa cement haitavuja. Tunataka tumkatae, mafundi wanatofautiana na technology pia.
Thank you.Tafuta fundi mtaalam wa kupaua hizi contemporary, siyo fundi wa kupaua tu. Na hakikisha kwenye makutano ya paa na tofali mnaweka Bitumat Synroof HB+Bitumat fabric, hii ni muhimu kuliko hata hiyo kuflash.
wataaalamu shida!Hizo contemporary ni nzuri sana kwa muonekano, ila nnavosikia zinaharibika haraka zinavujisha (nadhani shida itakua kwa wataalamu wetu) hawajazijulia vizuri.
Kuna jamaa kajenga haina hata mwaka tayari ndani kunavuja
hapa bado umefeli!Mi nimetoka kupaua contemporary juzi 3 bedrooms [emoji16]
Ambaye anataka info au ana maswali au doubts zozote anicheki 0765658383 WhatsApp nitamsaidia In sha AllahView attachment 2265506View attachment 2265507View attachment 2265508View attachment 2265509View attachment 2265510View attachment 2265511View attachment 2265512View attachment 2265513View attachment 2265514
Wewe umepatia wapi? tunaomba muongozo wakohapa bado umefeli!
Wewe umepatia wapi? tunaomba muongozo wako
Hujafeli ila yeye ameshindwa kujua kuwa mchoro wako wa umwagaji wa maji na WA kwake ni vitu viwili tofautiWewe umepatia wapi? tunaomba muongozo wako
Safi ila pia kuna jambo unatakiwa ulifanye hapo juu kuzuia majiMi nimetoka kupaua contemporary juzi 3 bedrooms [emoji16]
Ambaye anataka info au ana maswali au doubts zozote anicheki 0765658383 WhatsApp nitamsaidia In sha AllahView attachment 2265506View attachment 2265507View attachment 2265508View attachment 2265509View attachment 2265510View attachment 2265511View attachment 2265512View attachment 2265513View attachment 2265514
Hiinni nyumba ya msumbiji staili😆😂Sasa kiongozi ukiacha nyuma wazi hivi nyumba si inapoteza mvuto inakuwa kama majengo ya waarabu zamani
Noma sana. Hiyo concrete gutter katikati huwa naona bora ikae pembeni na sio katikati kama ivo. It's my opinion.Je n uyu?
View attachment 2265895
ishu sio kuweka mfereji kati au pemben tatizi ni kuchimbia bati kwenye ukuta ndio badae kunavujishaHujafeli ila yeye ameshindwa kujua kuwa mchoro wako wa umwagaji wa maji na WA kwake ni vitu viwili tofauti
Yeye amezungusha mfereji nyumba yoote na mwingine kauweka kati,ilhali wewe umeweka katikati ya nyumba pekee,hivyo ni sanifu (design)mbili tofauti
huo.mfereji mdogo! bado shida ipoJe n uyu?
View attachment 2265895
Unaona wapi pamechimbiwa bati wewe? Hiyo ya pembeni ni SYNROOF siyo cementishu sio kuweka mfereji kati au pemben tatizi ni kuchimbia bati kwenye ukuta ndio badae kunavujisha
Nilitaka pia kumuuliza hilo swali.....maana hakuna sehemu iliyoonekana kuwa mleta picha amechimbia bati kwenye ukutaUnaona wapi pamechimbiwa bati wewe? Hiyo ya pembeni ni SYNROOF siyo cement
Vizuri, unaweza kutusaidia kwenye hili ttzo,kutuelekeza mfereji unatakiwa uwe na vipimo gani vya ujazo na kwa ukubwa wa paa wa sq ngapihuo.mfereji mdogo! bado shida ipo
Acha kujifanya mjuaji na gutter zako umeangalia YouTube [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Come on ... Grow uphapa bado umefeli!
Jamaa ako anajifanya mjuaji sana na unakuta hata kupaua hivyo hajawahi [emoji23]Vizuri, unaweza kutusaidia kwenye hili ttzo,kutuelekeza mfereji unatakiwa uwe na vipimo gani vya ujazo na kwa ukubwa wa paa wa sq ngapi