Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka inaisha kwa nyumba yenye standard ni milion 50-60Nipo mwanza sio mwenyeji sana ila nimefanikiwa kupata kiwanja sehemu.
Napenda kujua gharama za ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu...!! Hadi inaisha.
Mwenye ujuzi tafadhali ntafurahi tukishare pamoja... Asante.
bila finishing na paa la kawaidaMil 15 uhakika
bila finishing na paa la kawaida20 mil kwangu
Makapuku tuendelee kupanga tu au tujenge chumba kimojaMpaka inaisha kwa nyumba yenye standard ni milion 50-60
Mwanza mtaa gani? Kimepimwa au ambacho hakijapimwa.Mie Nahitaji kiwanja Mwanza atleast kuanzia 30x30 na kuendelea
Kuanzia Nyegezi mpaka Buhongwa, kiwe kimepimwa au hata hakijapimwaMwanza mtaa gani? Kimepimwa au ambacho hakijapimwa.
Ukijibu hayo nakupa kadirio LA bei.
Wamekuibia au unadanganya.Mil 30. ndogo mno mkuu. Wala haifiki popote. Mleta mada kasema ya kisasa. Labda aseme sq mita ngapi anataka nyumba yake. Mie nina nyumba ya vyumba 3 vya kulala Sq mita 306 nimebakisha kuweka Gypsum nimeishatumis 56mil na hapo ni Dar ambako vifaa vya ujenzi ni nafuu ukilinganisha na mwanza
Tawi la MOSHI na DODOMA
Soon Litafunguliwa
Chini ya Kampuni ya ONE2ONE FOCUS
ONE 2 ONE FOCUS.CO LTD ni Kampuni ya Kizalendo ,iliyosajiliwa na BRELA kwa Hati Namba ya Usajili 127281 na TIN Namba :
131-202-040.
Kampuni inajishughulisha na:
1.Ujenzi wa Majengo Mbalimbali.
2.Upimaji wa Viwanja
3.Utengenezaji wa Ramani.
4.Uuzaji wa Viwanja.
Kwa Ujenzi wa Nyumba Tunakujengea na Kufanya Finishing Kuanzia Hatua ya Awali Mpaka Mwisho wa Ujenzi.
Pia Katika Ujenzi Huo Tunakuwekea:-
1.Uwiano Mzuri wa Cements
2.Nondo za mm 12 ,mm 16 na mm 24 za Chuma Kulingana na Aina ya Ujenzi.
3.Mbao imara i.e Mikaratus,Saiprus
4.Mabati imara Kutoka Nje ya Nchi
5.Tiles Daraja la Kwanza.
6.Tunaweka Gypsum
7.Tunaweka Fremu,Milango
8.Milango ya Mbele na Nyuma Kuwekewa Grill.
9.Tunaweka Fitting za Makabati,Mifumo ya Maji,Makabati ya Jioni.
10.Wiring ya Umeme.
Tupigie kwa:-
0715-908698(Whatsapp/Call)
0759-538688(Call)
OMARI RAJABU
MARKETING OFFICER
ONE2ONE FOCUS
MAKUMBUSHO COMPLEX
DAR-ES-SALAAM
Pia Tuna Ofisi Jiji la Mwanza
BUZURUGA COMPLEX
MWANZA
Mkoa wa Arusha
NAMVUA PLAZA
Floor ya 4
Kwa Majengo Bora,Imara kwa Gharama Nafuu Usisite Kutupigia
0715-908698(Call/Whatsapp)
0759-538688(Call Only)
0629-955992(Halotel Call)
NB:Tunajenga Mkoa wowote
[/QUOTE
Habari yako naitwa Phidelis Almas nina nyumba inaitaji finishing ipo buhonwa Je itawezekana kuingia mkataba ya finishing alafu nikalipa kidogo kidogo ? 0764 944821 phidelisalmas@gmail.comBUZURUGA
Acheni kutisha watu nyinyi,labda kama mleta mada anataka nyumba ya kufugia tembo,ila kama ni nyumba ya kawaida ya kuishi binadamu na yenye hadhi million 25 akisimamia mwenyewe ujenzi kwa mwanza anadondosha kitu kikali cha vyumba vitatu na makoro koro mengine ndani CHA MSINGI ASIPENDE MAKUU KUONA FULANI ANA NYUMBA YA SQM 500 NA YEYE ANATAKA KUJENGA YA NAMNA HIYO,jenga kulinganana na hela yako.Nina uzoefu na ujenzi wa mwanza hadi sasa nimeshatumia mil 15 na kidogo nyumba ya SQM 110 ina vyumba vitatu kimoja master,choo na bafu vya umma,dinning na sebule kubwa tu,jiko nitalijenga nje.Nasubiri mwezi December nikamalizie kufanya finishing ya tiles,gypsum board,plumbing,rangi nitapiga ndani nje nitapaacha kwanza na fundi kanifanyia tathimini inaweza nigharimu 5-6 millions. MLETA MADA WASIKUTISHE HIYO MIL 30 UNAJENGA NYUMBA NADHIFU NA CHENCHI INABAKI YA KUTOSHA.Angalizo,usitume pesa ili ujengewe utalia kilio cha mbwa koko,simamia mwenyewe mwanzo mwisho na materials usimpe fundi afuate fata mwenyewe na ulizia maduka tofauti tofauti ili kupata sehemu yenye bei nafuu.Mpaka inaisha kwa nyumba yenye standard ni milion 50-60