Jamani wadau naomba mnisaidie kujua gharama za kupata hati ya kusafiria nje ya nchi.
Mkuu huijui hii Tz, kweli gharama yake ni 50,000,lakini huo mzunguko wake, utaamua kutafuta shortcuts tu, ambayo ndio gharama za ziada zinatumika. We wanakuambia uende kijijini alikozaliwa baba yako, atafute mtu aliyeshuhudia baba yako akizaliwa?!!!! mi nilichoka, ndio nikajiongeza siku 3 tu nikaipata. we unafikiria mtu anakwambia nimetumia laki 3,kupata passport anatania?? labda kama unaumwa hivyo unahitaji kwenda kutibiwa nje, ndio wanaweza kukuonea huruma, ila lazima upigwe nyundo hata buku 20 ya maji. ukiwa na pesa yako hata ndani ya masaa 2 unaipata tu.Kama upo dar ni rahisi sana ukienda mwenyewe ofisini na ukiwa na viambatanishi vyote wiki tu unapata pasport.
Hivi katika hali ya kawaida wanatoa wapi ujasiri wa kudai vyeti vya wazazi?Tatizo ni hapo kwenye vyeti vya wazazi
Inategemea na mkoa ulipo, Ukiwa mikoan inachukua hata mwezi bei 50k ila dar siku 3 unaweza pata...Pia huo mkoa wanapenda penda rushwa kama ni ivo utaliwa sana hadi uipate, eg uhamiaji Arusha wanapenda sana rushwa, unapigwa chajuu na immigration officer mwenyewe sio kishoka wala nini unless uunganishwe na mkubwaJamani wadau,
Naomba mnisaidie kujua gharama za kupata hati ya kusafiria nje ya nchi.
Hivi katika hali ya kawaida wanatoa wapi ujasiri wa kudai vyeti vya wazazi?
Duuh,sisi ambao wazazi wetu walizaliwa chini ya miti huko maporini kazi tunayo.Mkuu hali ya kawaida unaijua wewe na hali yako. Wao wako kazini na hivyo vyeti ni mojawapo na viambatanishi vya wewe kupata hiyo pasipoti. Sasa wewe ifanye hii siasa.
Cheti cha mzazi angalau mmoja kinahitajika kuthibitisha uraia wa wazazi wako. Kama wazazi hawana cheti cha kuzaliwa kunakile kiapo Mahakamani mwanasheria anatoa 10k nadhani... Iyo form hadi ipitishwe kutengeza passport inapitiwa na maofficer kama watatu, ukikosa document hata moja wanayoihitaji unapigwa chiniHivi katika hali ya kawaida wanatoa wapi ujasiri wa kudai vyeti vya wazazi?
Duuh,sisi ambao wazazi wetu walizaliwa chini ya miti huko maporini kazi tunayo.
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Cheti cha mzazi angalau mmoja kinahitajika kuthibitisha uraia wa wazazi wako. Kama wazazi hawana cheti cha kuzaliwa kunakile kiapo Mahakamani mwanasheria anatoa 10k nadhani... Iyo form hadi ipitishwe kutengeza passport inapitiwa na maofficer kama watatu, ukikosa document hata moja wanayoihitaji unapigwa chini
Thanks,mkuuZipo taratibu zinazofuatwa. Hofu ondoa utaelekezwa nini cha kufanya. Kwani utahitajika upeleke viapo vya kuzaliwa na kufa vya wazazi.Kuna nchi kupata pasipoti kwa raia wao ni shida sana Mfano hapo Congo tu achilia mbali nchi kama India.
Mbona mimi Arusha hapo hapo nilipata kihalali kabisa bila hata usumbufu na siku ilipoletwa walipiga simu kwa ndugu yangu nikaifata bila hata kuombwa senti tano,ila nilimpa yule aliyeshughulikia shs 10,000/- kama asante kwa kuwa hata yeye alitumia muda wake kupiga simu kunitaarifu kuwa pass yangu imeshafika,siku hizi hamna usumbufu sana.Inategemea na mkoa ulipo, Ukiwa mikoan inachukua hata mwezi bei 50k ila dar siku 3 unaweza pata...Pia huo mkoa wanapenda penda rushwa kama ni ivo utaliwa sana hadi uipate, eg uhamiaji Arusha wanapenda sana rushwa, unapigwa chajuu na immigration officer mwenyewe sio kishoka wala nini unless uunganishwe na mkubwa