Gharama za umalaya...

Hapo kama umefanya utafiti mzuri kuhusu maji na issues related to that komaa utafanikiwa, yaweza kuwa njia ngumu na ndefu ila yawezekana tu
 
Boss..Hiyo mbegu ya mparachichi inachukua muda gani mpaka unakujua kuvuna ?
Hii ni mbegu iliyofanyiwa budding.. Mtaani huita ya kisasa.
Muda wake wa mpaka mavuno inategemea na utunzaji wake.
1. Ukitunza kitaalamu mwaka wa 2.5 unavuna.
2. Ukitunza kibahili kidogo tegemea mwaka wa 3.
3. Ukiyaacha yajilee yenyewe na yakafanikiwa kujilea basi mwaka wa 4.

Ila kibiashara FATA USHAURI WA KILIMO BORA (1).

#YNWA
 
Nia yako imeeleweka,swala hapa sio papuchi. Umetaka tu kujisifia,ujulishe unachokifanya. Kuna mtu gani siku hizi anahonga kiasi cha kumaliza hela ya kuwekeza kwenye mradi kama huo?.
 
Nia yako imeeleweka,swala hapa sio papuchi. Umetaka tu kujisifia,ujulishe unachokifanya. Kuna mtu gani siku hizi anahonga kiasi cha kumaliza hela ya kuwekeza kwenye mradi kama huo?.
Unadhani nitajibu nini basi...
Ubarikiwe mwenye IQ kubwaa ya kujua malengo ya mtu aliye nyuma ya keyboard.

#YNWA
 
Hapo kama umefanya utafiti mzuri kuhusu maji na issues related to that komaa utafanikiwa, yaweza kuwa njia ngumu na ndefu ila yawezekana tu
Yes aendelee kupambana ..but papuchi awe anazitafuna kiasi ..asiziasi kabisa .. Ikitokea akafariki na ugumu wake atakosa hata chakwenda kusimulia huko kuzimu

La msingi anapaswa kubalance mambo yake hard work kwa sana ..papuchi kiasi
Akiachana na papuchi kabisa atakuwa anainyima m300 haki yake ya msingi ..kila kiungo kinapaswa kufanya kazi iliyokifanya kiwepo mwilini
 
Hapo kama umefanya utafiti mzuri kuhusu maji na issues related to that komaa utafanikiwa, yaweza kuwa njia ngumu na ndefu ila yawezekana tu
Kabla sijaingia nilisoma kilimo kwa miaka mi4 (elimu mitaani).
Nilianza kusoma kilimo 2015 kwa kuongea na raia pamoja na kuingia field kwenye mashamba ya watu.
Na 2019 nikaingia kwenye game.

Japo life is uncertain ila naamini nitafanikiwa tu.

#YNWA
 
Samahani....
Akili ndogo inanisumbua genius.

#YNWA
Sijasema mimi genius.Ninukuu usemi wako " Akili yako haionyeshi matumaini ya kutusua". Ulimaanisha nini kama si wewe una akili kubwa kuliko??? Yote nakutakia heri!
 
Sijasema mimi genius.Ninukuu usemi wako " Akili yako haionyeshi matumaini ya kutusua". Ulimaanisha nini kama si wewe una akili kubwa kuliko??? Yote nakutakia heri!
Na kilimo cha PDF ulimaanisha nini?
Kwamba in reality HAIWEZEKANI?
#YNWA
 
ujui kiswahili chifu( fakini wewe)🤣😆😆
Opportunity cost is the value incurred for forgoing certain decision for the purpose of the other.
In decision making:- Observe/discus on the benefit between.

#YNWA
 
Kabla sijaingia nilisoma kilimo kwa miaka mi4 (elimu mitaani).
Nilianza kusoma kilimo 2015 kwa kuongea na raia pamoja na kuingia field kwenye mashamba ya watu.
Na 2019 nikaingia kwenye game.

Japo life is uncertain ila naamini nitafanikiwa tu.

#YNWA

Utafanikiwa tu, But challenge zisikufanye uache, kuna mradi nilifanya kwa miaka 15 kila mtu alidharau, lakini sasa kwa miaka 40 niliyonayo naona kama ndo my retirement plan!
 
Utafanikiwa tu, But challenge zisikufanye uache, kuna mradi nilifanya kwa miaka 15 kila mtu alidharau, lakini sasa kwa miaka 40 niliyonayo naona kama ndo my retirement plan!
Amen

#YNWA
 
Hongera, ila Gharama za umalaya ni zipi hapo Mkuu..? na ni malaya wa wapi..?

Title ya Uzi inachanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…