Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,415
Opportunity Cost ya kufanya umalaya ni hii hapa.......
Unakumbuka nilipost thread ya kuelezea kwanini utumie pesa mingii sababu ya just one night eti kisa mbunye..!!!
Sasa instead ya KUHONGA Fanya hivi....
1. Kusanya (save) zile pesa unazotumia kula papuchi na kuhonga.
2. Punguza matumizi yasio na lazima.
3. Na mwisho wa siku INVEST.
Kifupi kuwa cost conscious (economist) and not miser.
Mfano:-
Mimi nime invest kwenye kilimo cha Parachichi (nina eka 15 za Hass avocadoes).
Malengo ni eka 100 mwaka 2025, then nina miaka 6 ya kupanda mfululizo.
Japo kuvuna bado sanaa (nimeanza mvua hizi zilizopita), ila mpaka sasa nina mteja mmoja (kampuni ya Ku export).
Wakati naanza alikuja kunitembelea kuona my project na kuahidi kunipa soko, pia kuna mteja mwengine/mzungu bado sijamfata (nataka kumfata mwakani niongee nae).
Then kwenye mambo ya soko muda ukifika nitaweka mizani wateja wotee na kuona nani ana offer best price.
Nimeamua kuyapa MAPENZI LIKIZO na kwasasa NAPAMBANIA KOMBE ""My Future"" maana niliona ajira ya serikali HAITONIFIKISHA KOKOTEE zaidi ya kuwa kuhadi wa CCM.
Pamoja na Masters yangu niliyoitumikia serikali ya CCM ila nimeamua kuachana nao na kuingia shambani.
PAPUCHI na LOVE RELATIONSHIP NIMEZIPA LIKIZO....
Sio kwamba sihitaji partner ila nahisi wanawake watanichelewesha na pia nazipenda sanaa hela zangu na ndio maana kila cent nikiipata naitupia shambani.
Hebu fikiria.....
Mara imetokea nahitaji mbolea na muda huohuo baby nae anataka hela ya kusuka HUONI hapa kutakua na element za kucheleweshana?
Hujachelewa na MAAMUZI NI YAKO kijana mwenzangu.
Kwa MSIOKIPENDA KILIMO NA MNAKIPONDA KILA SIKU, NITAKUJA NA THREAD ""KWANINI UNAFELI KWENYE KILIMO""
ETI...
Kikao cha kuteua majina ma5 kinaendelea, ila first figure si alishasema majina anayomfukoni?
Kupita kwako itategemea siku hiyo ameamkaje.
Sasa kule kwenye kikao wameenda kula tu posho au kuzurura, maana majina first figure anayo.
#YNWA