Ghetto Qura'n na kisa cha 50 Cent kupigwa risasi..

Robert Kelly kawa Chid Benz
Hakuwa chid ila alikuwa anatumia, ukifatilia sababu ya kugombana na Jay Z kwenye tour yao kuitangaza Best of both Worlds Album.
 
Mc Griff sio baba mzazi wa 5O though alikuwa anatoka kimapenzi na Mama 50.Baba mzazi wa 50 anaitwa Ernest Lee Thomas..
 
Mc Griff hajafungwa maisha jela kwa sababu ya soo la 50.Amefungwa kwa sababu ya kesi nyingine kabisa
 
Fifty mpaka sasa pesa bado ako nayo aliinvest sana kipindi kile
 
Bobby shmurda ni rapper ambaye hana beef na mtu
 
Mc Griff hajafungwa maisha jela kwa sababu ya soo la 50.Amefungwa kwa sababu ya kesi nyingine kabisa
sijaonyesha sehemu sababu ya ishu ya 50!... Sikutaka base kwenye McGriff life.
 
Duh kamfunga baba yake
 
Hadi Leo bibi yake 50 anasema 50 ni mpole na mkarimu ila kitaani wanakwambia jamaa ana kauli mbiu yake moja kwamba "show no love..love will get you killed" kwa hiyo yeye kabla hujamkill anakukill wewe.


nakuthibisha hyo kauli...50 akacheza Movie iliyokwenda kwa jina la BEFORE I SELF DESTRUCT humo ndani anakufa kisa demu alimsnitch akamlengesha kwa jamaa lake lilitoka jela..

show no love.. love will get you killed...
 
wack discription...wacha stunt kwa 50...
 
Kwenye Music (HipHop) Diddy hafiki level ya 50 Cent alipata bahati ya kuwa rafiki wa BIG na utajiri wake mkubwa ameupata kwenye biashara
 
Ghetto Gospel 2pac huyu 50 akaamua kutoka na qur an ila hii ya 50 cjawahi isikia
 
Kanisa ni nani kumchagulia mtu cha kuvaa!?...
Mbona hawajam expell Trump aliyesema hawana ulinzi zaidi yake!?..
Jiongeze wewe mlokole!..get out of that box!
Fifty cents ni Roman Catholic. Trump ni protestants, hata hivyo Na alipokosea hadi "Pope Francis" aliwahi kumkosoa Trump. Iko wazi, na dunia inajua.
Soma na nyuuzz uwe updated.

ni tatizo umekalia miziki bangi t na miziki ya wanaosifu ngono na Pombe. Probably wewe bado teeneger. Cause wenye akili za kitoto ndio wanaoshindwa kuiona picha ilio dhahiri machoni. Umri utakua tatizo kwako. Ukikua utaacha. Na log off
 
Pumbavvvv.., You know nothing, hujui hata essence ya jina P.diddy..

Marapa wasio na bifu Wako wengi sana;-
Willy Smith na Bow wow, ChrisCross, Lil mario ni miongoni mwao.
 
ni tatizo umekalia miziki ya wavuta bangi tu, wanaosifu ngono na Pombe. Probably wewe bado teeneger. Cause wenye akili za kitoto ndio wanaoshindwa kuiona picha ilio dhahiri machoni. Umri utakua tatizo kwako. Ukikua utaacha. Na log off
Nimeshaijua akili yako sihitaji endelea na upuuzi huu!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…