Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mc Griff sio baba mzazi wa 5O though alikuwa anatoka kimapenzi na Mama 50.Baba mzazi wa 50 anaitwa Ernest Lee Thomas..Yap ni kweli, Kenneth Mc Griff yupo jela mpaka Leo,Wise Mc Griff naye yupo jela naye,juzi amemtukana sana 50,Supreme team wamefilisika,Murder inc nayo haina sauti tena,50 ni gangsta for real,niliwahi kukutana naye Houston Niga hana noma kabisa,Lorenzo Fat cat naye hana noma,Mc Griff ndiye aliyemuua Jam Master Jay wa Run DMC,pia Kenneth Mc Griff amemtomba sana mama ake fifty,mama ake fifty naye alikuwa drug dealer,na ukweli ni kwamba Mc Griff ndiye baba mzazi wa fifty,hata nyimbo ya Ghetto Quran ilikuwa Kali,juzi pia 50 ametoa ngoma nyingine kumtukana Mc Griff
Mc Griff hajafungwa maisha jela kwa sababu ya soo la 50.Amefungwa kwa sababu ya kesi nyingine kabisaUmewahi sikia kisa fulani cha 50 Cents kufungiwa kurecord nyimbo yoyote New york City?. Hebu chukulia mfano leo Ney wa mitego ajilipue atunge nyimbo awaimbe wauza madawa wote bongo halafu na wao kumkomoa wanazuia hakuna mtu yeyote Bongo kumrecordia Ney nyimbo.
Basi hiyo ndio ilimtokea 50 cent baada ya kuimba nyimbo fulani akaiita Ghetto Qur'an. Hiyo nyimbo ilivuja miaka ya 2000, yani humo ndani jamaa kawachana wauza madawa wote waliokuwa wanafanya biashara huko South Jamaica, Queens Marekani.
Wafanyabiashara kama Hamsini hivi jamaa aliwasnitch ndani ya nyimbo yake kama Kenneth 'SuPreme' McGriff na binamu yake Gerald Prince Miller hawa wote walikuwa vioongozi wa kundi moja matata la Supreme Team.
Baada ya jamaa kumblacklist 50 Cent studio zote za New York, kuna producer mmoja aliitwa Jam Master Jay yeye akaweka ngumu akaamua kumsaidia 50 Cent kurecord nyimbo kumbuka hapo bado 50 Cent sio huyo tunayemjua leo yani kajamaa ni kaunderground tu halafu kakaamuua kujilipua kurecord kitu ambacho hata wakubwa kama Jah rule walikua hawawezi kukiimba.
Sasa jamaa baada ya kuona kumbe biti lao halijawaingia baadhi ya vinega ikabidi wafanye street justice, 50 Cent akala mvua ya risasi 9 na huyo producer wake akauliwa kwa risasi pia!. Bahati nzuri 50 Cent akapona majeraha lakini ujumbe akawa kapata, akagoma wapa ushirikiano polisi kukamata wabaya wake na ikabidi nyimbo nyingine akazirecord Canada.
Ile nyimbo baadae ilikuja rudia wekwa kwenye mixtape ya 50 Cent ya mwaka 2002 iliyoitwa Guess Who's Back? hivyo ikaendelea itwa jina lake hivyo hivyo "Ghetto Qua'ran".
Huyu Kenneth McGriff ambaye ndio alikuwa kiongozi wa hilo kundi la supreme team alikuja kamatwa na kafungwa kifungo cha maisha bila uwezekano wa kuja samehewa na ni rafiki mkubwa wa Irving au "Irv Gotti" ambaye ndio muanzilishi wa Murder Inc.. Ukitaka kumjua huyo Kenneth "Supreme" McGriff na binamu yake Gerald "Prince" Miller wacheki kwenye movie ya 50 Cent - Get Rich or Die Tryin' wameigizwa kama Levar na Majestic.
Hilo kundi la Supreme Team unaambiwa lilikuwa hatari inakadiriwa lilikuwa na wanachama hadi 2,000 New york City, na mawasiliano yao walikuwa wanatumia code na namba zao maalum hakuna kutumia maneno kikawaida.
Maboss wake walikuwa na mabodyguard kibao halafu wakitaka kwenda sehemu kinatumwa kikosi kinakuwa na radio call watu wanawekwa hadi juu ya maghorofa kuangalia usalama.
Bobby shmurda ni rapper ambaye hana beef na mtuBack in the days Rapa gani asiye na beef unayemjua wewe!?..
Naomba hii source yako aseh!!..Yani Jigga kawa namba 1????...Duh
50 hajawahi kataa hilo na anakwambia kuna kipindi wakati huo underground hamjui Eminem alipomsikia Jamaa akirap akasema "this white boy is saved!". Hivi unajua makampuni kibao yalikuwa yanamtaka 50 cent lakini jamaa out of luve akasaini shady entertainment kwa just 1 million?.
Hivi unajua lil wayne alimtoa Drake lakini leo hii Drake kamzidi hadi boss wao Birdman fedha!. Usirudie sema kisa mtu kakutoa basi atakuzidi fedha daima (refer wizkid na banky w)
50 hajawahi tumia vilevi hivyo na kama unamshabikia back in the days rappers kama Jay Z, Didy, Jah rule, DMX hauna tofauti na hao unaoita "wavuta bangi"!!..
still unaongea pumba!!.
Game is the real nigger check swagga zake na flow zake utajua50 vs The Game who is real nigga?
Duh kamfunga baba yakeYap ni kweli, Kenneth Mc Griff yupo jela mpaka Leo,Wise Mc Griff naye yupo jela naye,juzi amemtukana sana 50,Supreme team wamefilisika,Murder inc nayo haina sauti tena,50 ni gangsta for real,niliwahi kukutana naye Houston Niga hana noma kabisa,Lorenzo Fat cat naye hana noma,Mc Griff ndiye aliyemuua Jam Master Jay wa Run DMC,pia Kenneth Mc Griff amemtomba sana mama ake fifty,mama ake fifty naye alikuwa drug dealer,na ukweli ni kwamba Mc Griff ndiye baba mzazi wa fifty,hata nyimbo ya Ghetto Quran ilikuwa Kali,juzi pia 50 ametoa ngoma nyingine kumtukana Mc Griff
Huyu dogo huwa ananifuraisha sana alitoaga ngoma moja iliyopelea the hood yao nzima jela.Bobby shmurda ni rapper ambaye hana beef na mtu
Hadi Leo bibi yake 50 anasema 50 ni mpole na mkarimu ila kitaani wanakwambia jamaa ana kauli mbiu yake moja kwamba "show no love..love will get you killed" kwa hiyo yeye kabla hujamkill anakukill wewe.
wack discription...wacha stunt kwa 50...Huyu Jamaa 50Cents "Curtis Jackson" ni mtu mwenye gubu na Wivu sana.
Pia 50Cents ana chuki na wasanii mbalimbali akiwemo Diddy "Sean Combs".
In short ni ngumu kwa yeye kuweza kua karibu na Diddy. Kama ambavyo ma GOAT wengine wakina JayZ, Ricky Roose, Dj khaleed, Nas, Snoop wanavyoonyesha Love kwa pamoja.
Maywether ana IQ kubwa katika maisha na anamuelewa sana.
50 Cents kwenye Bifu lake na Jefrey Artkins "Jarule" ilimsaidia sana kua Maarufu duniani.
Pia 50 Cents anaamini sana kupanda chati kwake kunategemea zaidi kiki na bifu.
Ndio maana amewekeza ubongo wake huko kuliko kitu kingine. Mpaka anaonekana kama ana akili ya kitineja wakati ni jitu zima linalo zeeka.
50Centa amewahi kushawishiwa na watu wengi sana, kupunguza lugha ya matusi kwenye Nyimbo zake. Akakataa na kulinganisha kitendo hiko ni sawa na kuondoa mstari Mwekundu kwenye bendera ya Marekani.
Alipigwa marufuku kukomunika na kanisa na pia marufuku kuvaa misalaba shingoni na Askofu wa kanisa katoliki kwasababu ya kuvaa kwenye miziki iliojaa matusi na tabia za kishetani.
Stori ya kupigwa risasi 9 inabaki kua ya kusadikika. Manake wakati inatumiwa kama kiki ya kumtoa kwenye moja ya Albamu yake miaka ile ya 2000s, ma Sherifs Nchini Marekani walianzisha uchunguzi kuhusu tukio hilo, manake walikua hawaijui.
Bifu lake la kulazimisha penzi kwa Olivia lilipelekea kumshusha sana. 50cents ni mtu anayeongea vibayavibaya. Hana Class.
Kwa sasa jama amefilisika. Na alishatangaza kufilisika. Hana tena Pesa ya kumpa Kibri.
Anajaribu tasnia ya Filamu. Na filamu pekee iliommulika vizuri itakua ni 14.
Kikundi chake cha G unit ndo hivyo tena kimeshapitwa na wakati.
Mtu anayeweza kua fascinated na 50 Cents atakua ni Immature. Anapenda mikwara ya kitoto na ya kimuvimuvi na kisinema zile za bolo young na Van dame.
But kwa wenye akili iliyokomaa hawawezi kubaliana na huyu mtu. Lyrically 50cents sio GoAt kabisa.
Kwenye Music (HipHop) Diddy hafiki level ya 50 Cent alipata bahati ya kuwa rafiki wa BIG na utajiri wake mkubwa ameupata kwenye biasharaUnaanisha HipHop sio?. Ndio.
Jay Z ndiye wa G.O.A.T. aliebakia duniani hai tangu Tupac na Biggie waage dunia. Ukimsikiliza lyrically, unakubali jamaa ni kichwa.
Tena sio kwenyw muziki tu hata kwenye Siasa alikua sapota mkubwa wa Barak Obama. Lakini amekua akiongea Vitu vyenye akili sana.
Na amepata Mke mrembo kwelikweli.
Bila kumsahau Diddy ambaye ana muda tangu aimbe mara ya mwisho lakini kwa vile biashara zinamuendea poa. Hakuna mbaya..
Fifty cents ni Roman Catholic. Trump ni protestants, hata hivyo Na alipokosea hadi "Pope Francis" aliwahi kumkosoa Trump. Iko wazi, na dunia inajua.Kanisa ni nani kumchagulia mtu cha kuvaa!?...
Mbona hawajam expell Trump aliyesema hawana ulinzi zaidi yake!?..
Jiongeze wewe mlokole!..get out of that box!
Pumbavvvv.., You know nothing, hujui hata essence ya jina P.diddy..Back in the days Rapa gani asiye na beef unayemjua wewe!?..
Naomba hii source yako aseh!!..Yani Jigga kawa namba 1????...Duh
50 hajawahi kataa hilo na anakwambia kuna kipindi wakati huo underground hamjui Eminem alipomsikia Jamaa akirap akasema "this white boy is saved!". Hivi unajua makampuni kibao yalikuwa yanamtaka 50 cent lakini jamaa out of luve akasaini shady entertainment kwa just 1 million?.
Hivi unajua lil wayne alimtoa Drake lakini leo hii Drake kamzidi hadi boss wao Birdman fedha!. Usirudie sema kisa mtu kakutoa basi atakuzidi fedha daima (refer wizkid na banky w)
50 hajawahi tumia vilevi hivyo na kama unamshabikia back in the days rappers kama Jay Z, Didy, Jah rule, DMX hauna tofauti na hao unaoita "wavuta bangi"!!..
still unaongea pumba!!.
Nimeshaijua akili yako sihitaji endelea na upuuzi huu!.ni tatizo umekalia miziki ya wavuta bangi tu, wanaosifu ngono na Pombe. Probably wewe bado teeneger. Cause wenye akili za kitoto ndio wanaoshindwa kuiona picha ilio dhahiri machoni. Umri utakua tatizo kwako. Ukikua utaacha. Na log off