Ghetto Qura'n na kisa cha 50 Cent kupigwa risasi..

Hatari sana. Vijana wetu nao wakisoma hii wanaiga.
 
Nakuona mzee wa deep down deep up
Kumbe upo vema mpaka kunako hizi anga
 
Kwenye Music (HipHop) Diddy hafiki level ya 50 Cent alipata bahati ya kuwa rafiki wa BIG na utajiri wake mkubwa ameupata kwenye biashara
Hujui usemacho wewe. 50Cents alichofanya ni kuiba style ya Jarule na kutoka nayo. Game zima la Hiphop limebadilishwa na Diddy.

Alipobadili jina tu kutoka Puff Daddy kwenda P.diddy. alibadilisha kila kitu. Hip hop ikaanza kua tamu upya. Enzi hizo Mavazi ya Sean John yalivyokua maarufu dunianu. 50Cents alikuja kuendeleza style ya Jarule ya kuimba na wanawake warembo wenye sauti Nyororo..

Pamoja na kua alimponda Jarule kua sio Gangster hakufanya cha ziada badala yale alipita mulemule kwa Jarule.
Hamna mapinduzi yoyote ya kimuziki aliyoleta mapya. Kama ni kucheza uchi jata wakina Sisqo mystical , Snoop doggy walishakua na dirty version za ngono ..
50 Cents Tangu alipokorofishana na Olivier ndio muziki wake ukapotea.
 
But he is the talent survivor (music anɗ movie writer/producer and director) aƙiamua kustick na upande mmoja either music or movie production ataendelea kuwa juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…