Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuona mzee wa deep down deep upWakati 50 anajaribu kubreak the mainstream kuna beats kibao maproducer walikuwa nazo hazina watu wa kuzitumia unaambiwa wasanii walikua hawawezi zitumia lakini 50 akiingia booth ana rap kama kazitengeneza yeye!
Hivi unajua beat la 'In Da Club' lilitengenezwa kwa ajiri ya kundi la D12 lakini wakashindwa litumia ikabidi 50 apewe, akaua na matokeo ya hiyo nyimbo fatilia.
Hivi unajua beat ya gharama zaidi miaka hiyo ilikua Candy shop by Scott scorch!?.
Unajua unaposema ana chuki kisa hana mafanikio unashangaza. unajua 50 ndio msanii wa kwanza duniani kuingiza nyimbo 3 top 5 Billboard ndani ya wiki ya kwanza "Candy Shop, Disco Inferno na How We Do."
50 hana chuki isipokuwa mazingira aliyokulia ya beef sana na kama hujui beef la Jah rule na 50 moja ya sababu ni kuwa 50 alikuja kumshusha popularity Jah rule!.
Lile Jengo zima la Mike tyson 50 alilinunua kwa nyimbo ya 'In da Club' pekee.
Unajua Mobb Deep waliwahi kumilikiwa na 50 kwenye G-Unit na jamaa akawapa wote magari ya Porsche (Prodigy na Havoc).
Tony Yayo, Busta Rhymes na Rakim walipewa beat ya Heat wakashindwa kuiimbia, 50 akapewa akaua unasemaje jamaa ni kick.
Unajua jamaa ana BET, Billboards, Grammy Awards na Tuzo nyingne ngapi!?. au mafanikio kwako ni yapi!?.
Unajua 50 aliwahi fika hadi top 5 ya wasanii matajiri zaidi duniani? mafanikio yapi ya kick hapo au forbes nao wanahesabu hadi kick?.
Kifupi kila kitu kina downfall kipindi cha 50 Cent kimepita kama kilivyo kipindi cha Jigga, Nas, Lil wayne na wengine.
Eti wewe ndio wa kusema 50 hakupigwa risasi 9 really!?.. Ina maana unapingana na ripoti za NYPD?.
Umeongea pumba sana!!..rudi research
Hujui usemacho wewe. 50Cents alichofanya ni kuiba style ya Jarule na kutoka nayo. Game zima la Hiphop limebadilishwa na Diddy.Kwenye Music (HipHop) Diddy hafiki level ya 50 Cent alipata bahati ya kuwa rafiki wa BIG na utajiri wake mkubwa ameupata kwenye biashara
Nenda IG uone Floyd Maywether anavyomvua nguo Huyo shoga 50cents. Hadi cheni feki anavaa.wack discription...wacha stunt kwa 50...
But he is the talent survivor (music anɗ movie writer/producer and director) aƙiamua kustick na upande mmoja either music or movie production ataendelea kuwa juu.Huyu Jamaa 50Cents "Curtis Jackson" ni mtu mwenye gubu na Wivu sana.
Pia 50Cents ana chuki na wasanii mbalimbali akiwemo Diddy "Sean Combs".
In short ni ngumu kwa yeye kuweza kua karibu na Diddy. Kama ambavyo ma GOAT wengine wakina JayZ, Ricky Roose, Dj khaleed, Nas, Snoop wanavyoonyesha Love kwa pamoja.
Maywether ana IQ kubwa katika maisha na anamuelewa sana.
50 Cents kwenye Bifu lake na Jefrey Artkins "Jarule" ilimsaidia sana kua Maarufu duniani.
Pia 50 Cents anaamini sana kupanda chati kwake kunategemea zaidi kiki na bifu.
Ndio maana amewekeza ubongo wake huko kuliko kitu kingine. Mpaka anaonekana kama ana akili ya kitineja wakati ni jitu zima linalo zeeka.
50Centa amewahi kushawishiwa na watu wengi sana, kupunguza lugha ya matusi kwenye Nyimbo zake. Akakataa na kulinganisha kitendo hiko ni sawa na kuondoa mstari Mwekundu kwenye bendera ya Marekani.
Alipigwa marufuku kukomunika na kanisa na pia marufuku kuvaa misalaba shingoni na Askofu wa kanisa katoliki kwasababu ya kuvaa kwenye miziki iliojaa matusi na tabia za kishetani.
Stori ya kupigwa risasi 9 inabaki kua ya kusadikika. Manake wakati inatumiwa kama kiki ya kumtoa kwenye moja ya Albamu yake miaka ile ya 2000s, ma Sherifs Nchini Marekani walianzisha uchunguzi kuhusu tukio hilo, manake walikua hawaijui.
Bifu lake la kulazimisha penzi kwa Olivia lilipelekea kumshusha sana. 50cents ni mtu anayeongea vibayavibaya. Hana Class.
Kwa sasa jama amefilisika. Na alishatangaza kufilisika. Hana tena Pesa ya kumpa Kibri.
Anajaribu tasnia ya Filamu. Na filamu pekee iliommulika vizuri itakua ni 14.
Kikundi chake cha G unit ndo hivyo tena kimeshapitwa na wakati.
Mtu anayeweza kua fascinated na 50 Cents atakua ni Immature. Anapenda mikwara ya kitoto na ya kimuvimuvi na kisinema zile za bolo young na Van dame.
But kwa wenye akili iliyokomaa hawawezi kubaliana na huyu mtu. Lyrically 50cents sio GoAt kabisa.