Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
maisha halisi..ebhana hayo maisha ni halisi kabisa au movie zao tuh?
daah mkuu hapa sijaekewa kabisa hizo mc griff nyingi sielewi yupi ni nani kwa mwenzake!! (naona mada tam ila namjua 50 pekee)Yap ni kweli, Kenneth Mc Griff yupo jela mpaka Leo,Wise Mc Griff naye yupo jela naye,juzi amemtukana sana 50,Supreme team wamefilisika,Murder inc nayo haina sauti tena,50 ni gangsta for real,niliwahi kukutana naye Houston Niga hana noma kabisa,Lorenzo Fat cat naye hana noma,Mc Griff ndiye aliyemuua Jam Master Jay wa Run DMC,pia Kenneth Mc Griff amemtomba sana mama ake fifty,mama ake fifty naye alikuwa drug dealer,na ukweli ni kwamba Mc Griff ndiye baba mzazi wa fifty,hata nyimbo ya Ghetto Quran ilikuwa Kali,juzi pia 50 ametoa ngoma nyingine kumtukana Mc Griff
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]daah mkuu hapa sijaekewa kabisa hizo mc griff nyingi sielewi yupi ni nani kwa mwenzake!! (naona mada tam ila namjua 50 pekee)
Ngoja nichekzipo nyingi but me napenda pirate bay..nashusha season yote..
ukikwama nenda kwenye jukwaa la movies and TV series..watu wameweka vitu hizo kwa wingi wakeNgoja nichek
Power hatari sana yani mule huyo fifty mwenyewe anaonekana mchumba kuna mwamba anaitwa ghost pamoja na kichwa ngumu bwana tommyAtakuwa kailenga power
Ghost ndo Mimi..angalia avatar yangu..hahPower hatari sana yani mule huyo fifty mwenyewe anaonekana mchumba kuna mwamba anaitwa ghost pamoja na kichwa ngumu bwana tommy
Playstore naweza ipata mkuu??zipo nyingi but me napenda pirate bay..nashusha season yote..
Km kaona kipande kifupi tu, atajuaje km ni movie au sio movie!?power mbona sio movie
Ipakue mkuuHivi power naipata wapi mkuu
Tommy na ghost wameinogesha sana power..Power hatari sana yani mule huyo fifty mwenyewe anaonekana mchumba kuna mwamba anaitwa ghost pamoja na kichwa ngumu bwana tommy
Mkuu nipe site maana kuna jamaa amenidirect lakini nimegonga mwambaIpakue mkuu
Pc au simu!?Mkuu nipe site maana kuna jamaa amenidirect lakini nimegonga mwamba
Simu!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pc au simu!?
hahahahaa..Wakati Beef la 50 na Fat Joe limefika pabaya,Fat Joe akaongea na vyombo vya habari anamuomba 50 beef liwe kwenye nyimbo Tu wasije wakataftana mtaani coz anajua Curtis mtu WA aina Gani..FIF,FERRARI..daah mmenikumbusha years ago
Inaitwa BEST OF THE BOTH WORLDS hiyo ndiyo waliifanyia Tour R. Kelly akawa anazingua mwishoni wakati wanafunga Tour yao New York jamaa akaleta virugu maana Jay Z alimzid mashabiki home twn kwao kumbe kelly akasubiri wafike New york home twn kwa Jigga na yeye alete vuruguPIA wana album ya pamoja.best of both....