Ghetto Qura'n na kisa cha 50 Cent kupigwa risasi..

Ghetto Qura'n na kisa cha 50 Cent kupigwa risasi..

Yap ni kweli, Kenneth Mc Griff yupo jela mpaka Leo,Wise Mc Griff naye yupo jela naye,juzi amemtukana sana 50,Supreme team wamefilisika,Murder inc nayo haina sauti tena,50 ni gangsta for real,niliwahi kukutana naye Houston Niga hana noma kabisa,Lorenzo Fat cat naye hana noma,Mc Griff ndiye aliyemuua Jam Master Jay wa Run DMC,pia Kenneth Mc Griff amemtomba sana mama ake fifty,mama ake fifty naye alikuwa drug dealer,na ukweli ni kwamba Mc Griff ndiye baba mzazi wa fifty,hata nyimbo ya Ghetto Quran ilikuwa Kali,juzi pia 50 ametoa ngoma nyingine kumtukana Mc Griff
daah mkuu hapa sijaekewa kabisa hizo mc griff nyingi sielewi yupi ni nani kwa mwenzake!! (naona mada tam ila namjua 50 pekee)
 
Aliempiga risasi 50,anaitwa Darryl Baum,alikua best friend na Body guard WA Mike Tyson..nae alipigwa risasi week 3 baada ya shambuliio la 50,bahati mbaya akafariki..kwenye many men 50 anasema "amo he shot me,3 weeks later he got shot down,he got hit like I got hit but he ain't fuckin breathing"
 
Wakati Beef la 50 na Fat Joe limefika pabaya,Fat Joe akaongea na vyombo vya habari anamuomba 50 beef liwe kwenye nyimbo Tu wasije wakataftana mtaani coz anajua Curtis mtu WA aina Gani..FIF,FERRARI..daah mmenikumbusha years ago
hahahahaa..
 
PIA wana album ya pamoja.best of both....
Inaitwa BEST OF THE BOTH WORLDS hiyo ndiyo waliifanyia Tour R. Kelly akawa anazingua mwishoni wakati wanafunga Tour yao New York jamaa akaleta virugu maana Jay Z alimzid mashabiki home twn kwao kumbe kelly akasubiri wafike New york home twn kwa Jigga na yeye alete vurugu
 
Back
Top Bottom