Ghetto Qura'n na kisa cha 50 Cent kupigwa risasi..

aisee
 
duuuuhhh kwli noma aiseeee
 
Mkuu p diddy na jay z kwani watu wa Hop Hop?
Unaanisha HipHop sio?. Ndio.
Jay Z ndiye wa G.O.A.T. aliebakia duniani hai tangu Tupac na Biggie waage dunia. Ukimsikiliza lyrically, unakubali jamaa ni kichwa.
Tena sio kwenyw muziki tu hata kwenye Siasa alikua sapota mkubwa wa Barak Obama. Lakini amekua akiongea Vitu vyenye akili sana.
Na amepata Mke mrembo kwelikweli.

Bila kumsahau Diddy ambaye ana muda tangu aimbe mara ya mwisho lakini kwa vile biashara zinamuendea poa. Hakuna mbaya..
 
Hii ilikuwepo kwenye ile movie ya 50cent inayoitwa "GET RICH OR DIE TRYING"
 
In law they say, there is different btn "fact" and "material fact" huyo jamaa anajitahidi kujifanya anajua kitu kuhusu 50 ila ameishia kutaja real names za watu but he know nothing rather than came up with stories za magazeti ya shigongo.
 
Ukijitahidi kutulia utaelewa jamaa anachokieleza but if it's vice-versa you'll end up with that "periodic table". Bangi hata Hayati Nesta Marley aliivuta na kuisifia ila amefariki akiwa ameacha legacy amabayo hata babu yako au wewe hamtokuja ifikia hata robo pamoja na kunywa kwenu Malta energy na Soda.
 
😀😀😀.,. Hivi kuna 50 cent mwingine or ni huyu huyu 50 cent tunaomjua wote unaemzungumzia hapa.!!!,..Afu he is broke,..hata mimi natamani kua 15mil usd broke aisee 😀


 
Mi kanifurahisha anavyosema mchizi kupigwa risasi 9 ni story ya kusadikika tu alikua anatafuta kiki,..
 
Amefilisika vipi wakati kwny list ya forbes rappers wenywe mkwanja akosi top 20

Mwaka 2015 alikuwa na kesi ali leakisha picha na video za ngono za demu wa zamani wa Rozay anaitwa Gastonia aliamuriwa na mahakama amlipe faini $7 millioni ndipo akajifanya amefilisika nakuomba alipe $1.6 million na alipo toka kumaliza iyo kesi alipost kwny Social media mahela mengi kuliko hata alichokuwa ana daiwa [emoji2]

Deal iliwahi kumuuingizia hela sn ni ya vitamin water ambapo coca cola walikuja inunua kampuni aliokuwa ana hisa zke nyingi ukisikiliza I Get Money anakuambia "I took quater water, sold it in a bottle for two bucks and coca cola came and bought it for billions" alivuta km $300 millioni kwny ilo deal.
 
Story za kutunga!!!.. 50 mchumba tu... R.I.P 2PAC!!..
Tena ni mchumba wa Kingoni mkuu. Papulu mkononi. He's a known snitch Upstate NY.
Nashangaa mapimbi humu wanampa sifa za kipuuzi.
R.I.P ma nigga PAC.
R.I.P ma nigga B.I.G.
The best that ever did it!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…