Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
still anatafuta,huwezi kujua..Utajiri alionao Didy 50 ataishia kuuota ndotoni tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
still anatafuta,huwezi kujua..Utajiri alionao Didy 50 ataishia kuuota ndotoni tu
aisee50 Cent toka mtoto baada ya mama yake kuuliwa akaenda ishi na wajomba zake unaambiwa jamaa alikuwa anawasupply home mzigo wa cocaine!... Yani mjomba na ndugu wakipata arosto anawaambia kuna rafiki yangu anauza mzigo wanampa hela akawaletee kumbe anazunguka mtaani anarudi anawapa mzigo toka ndani ya nyumba humo humo[emoji2]. Badae alikuja kamatwa na gun shuleni kwao ndio ikabidi awaambie na home yeye ndio supplier wao na anauza sana!!... Jamaa ni gangstar hasa!.
duuuuhhh kwli noma aiseeeeYap ni kweli, Kenneth Mc Griff yupo jela mpaka Leo,Wise Mc Griff naye yupo jela naye,juzi amemtukana sana 50,Supreme team wamefilisika,Murder inc nayo haina sauti tena,50 ni gangsta for real,niliwahi kukutana naye Houston Niga hana noma kabisa,Lorenzo Fat cat naye hana noma,Mc Griff ndiye aliyemuua Jam Master Jay wa Run DMC,pia Kenneth Mc Griff amemtomba sana mama ake fifty,mama ake fifty naye alikuwa drug dealer,na ukweli ni kwamba Mc Griff ndiye baba mzazi wa fifty,hata nyimbo ya Ghetto Quran ilikuwa Kali,juzi pia 50 ametoa ngoma nyingine kumtukana Mc Griff
Unaanisha HipHop sio?. Ndio.Mkuu p diddy na jay z kwani watu wa Hop Hop?
Hii ilikuwepo kwenye ile movie ya 50cent inayoitwa "GET RICH OR DIE TRYING"Umewahi sikia kisa fulani cha 50 Cents kufungiwa kurecord nyimbo yoyote New york City?. Hebu chukulia mfano leo Ney wa mitego ajilipue atunge nyimbo awaimbe wauza madawa wote bongo halafu na wao kumkomoa wanazuia hakuna mtu yeyote Bongo kumrecordia Ney nyimbo.
Basi hiyo ndio ilimtokea 50 cent baada ya kuimba nyimbo fulani akaiita Ghetto Qur'an. Hiyo nyimbo ilivuja miaka ya 2000, yani humo ndani jamaa kawachana wauza madawa wote waliokuwa wanafanya biashara huko South Jamaica, Queens Marekani.
Wafanyabiashara kama Hamsini hivi jamaa aliwasnitch ndani ya nyimbo yake kama Kenneth 'SuPreme' McGriff na binamu yake Gerald Prince Miller hawa wote walikuwa vioongozi wa kundi moja matata la Supreme Team.
Baada ya jamaa kumblacklist 50 Cent studio zote za New York, kuna producer mmoja aliitwa Jam Master Jay yeye akaweka
Hivi S05 ishadrop?Power hatari sana yani mule huyo fifty mwenyewe anaonekana mchumba kuna mwamba anaitwa ghost pamoja na kichwa ngumu bwana tommy
In law they say, there is different btn "fact" and "material fact" huyo jamaa anajitahidi kujifanya anajua kitu kuhusu 50 ila ameishia kutaja real names za watu but he know nothing rather than came up with stories za magazeti ya shigongo.Wakati 50 anajaribu kubreak the mainstream kuna beats kibao maproducer walikuwa nazo hazina watu wa kuzitumia unaambiwa wasanii walikua hawawezi zitumia lakini 50 akiingia booth ana rap kama kazitengeneza yeye!
Hivi unajua beat la 'In Da Club' lilitengenezwa kwa ajiri ya kundi la D12 lakini wakashindwa litumia ikabidi 50 apewe, akaua na matokeo ya hiyo nyimbo fatilia.
Hivi unajua beat ya gharama zaidi miaka hiyo ilikua Candy shop by Scott scorch!?.
Unajua unaposema ana chuki kisa hana mafanikio unashangaza. unajua 50 ndio msanii wa kwanza duniani kuingiza nyimbo 3 top 5 Billboard ndani ya wiki ya kwanza "Candy Shop, Disco Inferno na How We Do."
50 hana chuki isipokuwa mazingira aliyokulia ya beef sana na kama hujui beef la Jah rule na 50 moja ya sababu ni kuwa 50 alikuja kumshusha popularity Jah rule!.
Lile Jengo zima la Mike tyson 50 alilinunua kwa nyimbo ya 'In da Club' pekee.
Unajua Mobb Deep waliwahi kumilikiwa na 50 kwenye G-Unit na jamaa akawapa wote magari ya Porsche (Prodigy na Havoc).
Tony Yayo, Busta Rhymes na Rakim walipewa beat ya Heat wakashindwa kuiimbia, 50 akapewa akaua unasemaje jamaa ni kick.
Unajua jamaa ana BET, Billboards, Grammy Awards na Tuzo nyingne ngapi!?. au mafanikio kwako ni yapi!?.
Unajua 50 aliwahi fika hadi top 5 ya wasanii matajiri zaidi duniani? mafanikio yapi ya kick hapo au forbes nao wanahesabu hadi kick?.
Kifupi kila kitu kina downfall kipindi cha 50 Cent kimepita kama kilivyo kipindi cha Jigga, Nas, Lil wayne na wengine.
Eti wewe ndio wa kusema 50 hakupigwa risasi 9 really!?.. Ina maana unapingana na ripoti za NYPD?.
Umeongea pumba sana!!..rudi research
Ukijitahidi kutulia utaelewa jamaa anachokieleza but if it's vice-versa you'll end up with that "periodic table". Bangi hata Hayati Nesta Marley aliivuta na kuisifia ila amefariki akiwa ameacha legacy amabayo hata babu yako au wewe hamtokuja ifikia hata robo pamoja na kunywa kwenu Malta energy na Soda.Unasema 50 cents hana chuki ila ni mazingira aliokulia.
This is paradoxy anyway...[emoji115] [emoji2]
Sio JaRule tu, kuna
Amefanya bifu na akina Fat joe, JadaKiss, The Game, Diddy just to mention the few.
Alipokua rich ni mazingira gani aliokulia ambayo ma Rappers wengine mashuhuri hawajapitia? Huyu jamaa ni psycho.
From rags to riches.
EmineM unaeza mpa excuses alikua anakua.
Hata muziki wake una reflect mabadiliko aliokua anapitia ya kiumri.miaka ile hata mie nilikua fan wake kwakweli. Na Eminem ana rekodi zake ambazo hazijawahi kuvunjwa mpaka kesho.
Na kusema ukweli, Eminem bado Tajiri namba Nne duniani kwa utajiri. He have fame and Success at his hands. Dola milioni kwa utajiri wa milioni100 akifuatiwa na Drake, Dr.Dre, Diddy na kinara wao anawaongozea JayZ.
Eminem na Dre ndio walimtoa 50 Cents ambaye ni kichwa panzi.
50Cents kamwe hawezi stahafu muziki kwasababu ndio injini ya Maisha yake hivi sasa.
Hao wakina Diddy, JayZ, and the Like wanaweza kua afford ku-retire hiphop. They have done everything in Music.
Ni kama uwe fans wa "Mike Tyson" ambaye naye kachoka.
Hivi unaanzaje kua fan wa Tyson na 50 Cents?
Unajifunza kitu gani kwa hawa wavuta Bangi?. Tyson kakamatwa na bangi mara kadhaa. Ni hiyo mikwara ya kitoto ndio inakuvutia? They have no brain.
Huyu Jamaa 50Cents "Curtis Jackson" ni mtu mwenye gubu na Wivu sana.
Pia 50Cents ana chuki na wasanii mbalimbali akiwemo Diddy "Sean Combs".
In short ni ngumu kwa yeye kuweza kua karibu na Diddy. Kama ambavyo ma GOAT wengine wakina JayZ, Ricky Roose, Dj khaleed, Nas, Snoop wanavyoonyesha Love kwa pamoja.
Maywether ana IQ kubwa katika maisha na anamuelewa sana.
50 Cents kwenye Bifu lake na Jefrey Artkins "Jarule" ilimsaidia sana kua Maarufu duniani.
Pia 50 Cents anaamini sana kupanda chati kwake kunategemea zaidi kiki na bifu.
Ndio maana amewekeza ubongo wake huko kuliko kitu kingine. Mpaka anaonekana kama ana akili ya kitineja wakati ni jitu zima linalo zeeka.
50Centa amewahi kushawishiwa na watu wengi sana, kupunguza lugha ya matusi kwenye Nyimbo zake. Akakataa na kulinganisha kitendo hiko ni sawa na kuondoa mstari Mwekundu kwenye bendera ya Marekani.
Alipigwa marufuku kukomunika na kanisa na pia marufuku kuvaa misalaba shingoni na Askofu wa kanisa katoliki kwasababu ya kuvaa kwenye miziki iliojaa matusi na tabia za kishetani.
Stori ya kupigwa risasi 9 inabaki kua ya kusadikika. Manake wakati inatumiwa kama kiki ya kumtoa kwenye moja ya Albamu yake miaka ile ya 2000s, ma Sherifs Nchini Marekani walianzisha uchunguzi kuhusu tukio hilo, manake walikua hawaijui.
Bifu lake la kulazimisha penzi kwa Olivia lilipelekea kumshusha sana. 50cents ni mtu anayeongea vibayavibaya. Hana Class.
Kwa sasa jama amefilisika. Na alishatangaza kufilisika. Hana tena Pesa ya kumpa Kibri.
Anajaribu tasnia ya Filamu. Na filamu pekee iliommulika vizuri itakua ni 14.
Kikundi chake cha G unit ndo hivyo tena kimeshapitwa na wakati.
Mtu anayeweza kua fascinated na 50 Cents atakua ni Immature. Anapenda mikwara ya kitoto na ya kimuvimuvi na kisinema zile za bolo young na Van dame.
But kwa wenye akili iliyokomaa hawawezi kubaliana na huyu mtu. Lyrically 50cents sio GoAt kabisa.
Wakati 50 anajaribu kubreak the mainstream kuna beats kibao maproducer walikuwa nazo hazina watu wa kuzitumia unaambiwa wasanii walikua hawawezi zitumia lakini 50 akiingia booth ana rap kama kazitengeneza yeye!
Hivi unajua beat la 'In Da Club' lilitengenezwa kwa ajiri ya kundi la D12 lakini wakashindwa litumia ikabidi 50 apewe, akaua na matokeo ya hiyo nyimbo fatilia.
Hivi unajua beat ya gharama zaidi miaka hiyo ilikua Candy shop by Scott scorch!?.
Unajua unaposema ana chuki kisa hana mafanikio unashangaza. unajua 50 ndio msanii wa kwanza duniani kuingiza nyimbo 3 top 5 Billboard ndani ya wiki ya kwanza "Candy Shop, Disco Inferno na How We Do."
50 hana chuki isipokuwa mazingira aliyokulia ya beef sana na kama hujui beef la Jah rule na 50 moja ya sababu ni kuwa 50 alikuja kumshusha popularity Jah rule!.
Lile Jengo zima la Mike tyson 50 alilinunua kwa nyimbo ya 'In da Club' pekee.
Unajua Mobb Deep waliwahi kumilikiwa na 50 kwenye G-Unit na jamaa akawapa wote magari ya Porsche (Prodigy na Havoc).
Tony Yayo, Busta Rhymes na Rakim walipewa beat ya Heat wakashindwa kuiimbia, 50 akapewa akaua unasemaje jamaa ni kick.
Unajua jamaa ana BET, Billboards, Grammy Awards na Tuzo nyingne ngapi!?. au mafanikio kwako ni yapi!?.
Unajua 50 aliwahi fika hadi top 5 ya wasanii matajiri zaidi duniani? mafanikio yapi ya kick hapo au forbes nao wanahesabu hadi kick?.
Kifupi kila kitu kina downfall kipindi cha 50 Cent kimepita kama kilivyo kipindi cha Jigga, Nas, Lil wayne na wengine.
Eti wewe ndio wa kusema 50 hakupigwa risasi 9 really!?.. Ina maana unapingana na ripoti za NYPD?.
Umeongea pumba sana!!..rudi research
Amefilisika vipi wakati kwny list ya forbes rappers wenywe mkwanja akosi top 20Huyu Jamaa 50Cents "Curtis Jackson" ni mtu mwenye gubu na Wivu sana.
Pia 50Cents ana chuki na wasanii mbalimbali akiwemo Diddy "Sean Combs".
In short ni ngumu kwa yeye kuweza kua karibu na Diddy. Kama ambavyo ma GOAT wengine wakina JayZ, Ricky Roose, Dj khaleed, Nas, Snoop wanavyoonyesha Love kwa pamoja.
Maywether ana IQ kubwa katika maisha na anamuelewa sana.
50 Cents kwenye Bifu lake na Jefrey Artkins "Jarule" ilimsaidia sana kua Maarufu duniani.
Pia 50 Cents anaamini sana kupanda chati kwake kunategemea zaidi kiki na bifu.
Ndio maana amewekeza ubongo wake huko kuliko kitu kingine. Mpaka anaonekana kama ana akili ya kitineja wakati ni jitu zima linalo zeeka.
50Centa amewahi kushawishiwa na watu wengi sana, kupunguza lugha ya matusi kwenye Nyimbo zake. Akakataa na kulinganisha kitendo hiko ni sawa na kuondoa mstari Mwekundu kwenye bendera ya Marekani.
Alipigwa marufuku kukomunika na kanisa na pia marufuku kuvaa misalaba shingoni na Askofu wa kanisa katoliki kwasababu ya kuvaa kwenye miziki iliojaa matusi na tabia za kishetani.
Stori ya kupigwa risasi 9 inabaki kua ya kusadikika. Manake wakati inatumiwa kama kiki ya kumtoa kwenye moja ya Albamu yake miaka ile ya 2000s, ma Sherifs Nchini Marekani walianzisha uchunguzi kuhusu tukio hilo, manake walikua hawaijui.
Bifu lake la kulazimisha penzi kwa Olivia lilipelekea kumshusha sana. 50cents ni mtu anayeongea vibayavibaya. Hana Class.
Kwa sasa jama amefilisika. Na alishatangaza kufilisika. Hana tena Pesa ya kumpa Kibri.
Anajaribu tasnia ya Filamu. Na filamu pekee iliommulika vizuri itakua ni 14.
Kikundi chake cha G unit ndo hivyo tena kimeshapitwa na wakati.
Mtu anayeweza kua fascinated na 50 Cents atakua ni Immature. Anapenda mikwara ya kitoto na ya kimuvimuvi na kisinema zile za bolo young na Van dame.
But kwa wenye akili iliyokomaa hawawezi kubaliana na huyu mtu. Lyrically 50cents sio GoAt kabisa.
Tena ni mchumba wa Kingoni mkuu. Papulu mkononi. He's a known snitch Upstate NY.Story za kutunga!!!.. 50 mchumba tu... R.I.P 2PAC!!..
Wewe ni mfia dini?Ghetto Quran??????
Anawakorofisha waislam
inaitwa GUNDuuuuhhhhh,noma sana...huwa kuna movie fulani ya 50 Cent siifaham kwa jina lkn ndani yake huwa kuna mauaji sana na matumizi ya madawa wa kulevya,kama unaifaham kwa jina naomba unifahamishe!
inaitwa GUNbefore i self destruct haina violence sana kama ndio aliyokuwa anaifikiria huyu jamaa
mbona unakanusha stori za kweli..tuache wahuni wa zamani tujadilihuu ni uongo uliotukuka!!
acha mawazo ya ki GAY wewe...Mbona umewekeza sana kumuelewa mwanaume mwenzako???
unaongea usilolijua..50 alikuja kumalizwa na Rozee