Mwaka 2007 forbes walimpa namba 2 50 nyuma ya Jay Z mwaka 2017 nazani Didy- 1 jay Z-3 lakini kushangaza kuna ingizo la Drake top 5!..Utajiri alionao Didy 50 ataishia kuuota ndotoni tu
Columbia waliokuwa wameterminate mkataba wake baada ya kumsikia kwenye hiyo Mixtape walianza kumfatilia wampe mkataba mzuri zaidi!..Akawakataliamengine yote nakuunga mkono,but suala la 50 kukataa hela kutoka labels zingine SI kweli,hakua na record deal baada ya mwanae kufa,karecord mix tape akiwa Canada,,after eminem kumskia kwnye guess who's back..ndio kamuita 50,..bahati nzuri PIA 50 hakua broke wakati anakutana na eminem..
Sifa gani za kipuuzi tulizompa!?.. kati ya nilizotaja ipi sio yake?..Tena ni mchumba wa Kingoni mkuu. Papulu mkononi. He's a known snitch Upstate NY.
Nashangaa mapimbi humu wanampa sifa za kipuuzi.
R.I.P ma nigga PAC.
R.I.P ma nigga B.I.G.
The best that ever did it!
Legacy ya BOB Marley haipo kwenye kuvuta Ndumu. Dont get fooled. Keep on smoking and expect kuacha legacy kwenye Mapafu yako.Ukijitahidi kutulia utaelewa jamaa anachokieleza but if it's vice-versa you'll end up with that "periodic table". Bangi hata Hayati Nesta Marley aliivuta na kuisifia ila amefariki akiwa ameacha legacy amabayo hata babu yako au wewe hamtokuja ifikia hata robo pamoja na kunywa kwenu Malta energy na Soda.
Unawajua watu kama Krs One,M.O.P,Rakim,Immortal technique n.kUnaanisha HipHop sio?. Ndio.
Jay Z ndiye wa G.O.A.T. aliebakia duniani hai tangu Tupac na Biggie waage dunia. Ukimsikiliza lyrically, unakubali jamaa ni kichwa.
Tena sio kwenyw muziki tu hata kwenye Siasa alikua sapota mkubwa wa Barak Obama. Lakini amekua akiongea Vitu vyenye akili sana.
Na amepata Mke mrembo kwelikweli.
Bila kumsahau Diddy ambaye ana muda tangu aimbe mara ya mwisho lakini kwa vile biashara zinamuendea poa. Hakuna mbaya..
Hiyo movie itakuwa Before I self destruct au Set upDuuuuhhhhh,noma sana...huwa kuna movie fulani ya 50 Cent siifaham kwa jina lkn ndani yake huwa kuna mauaji sana na matumizi ya madawa wa kulevya,kama unaifaham kwa jina naomba unifahamishe!
JAMAA STORY TELLER MZURI SANA WEWE..BIG UP BROUmewahi sikia kisa fulani cha 50 Cents kufungiwa kurecord nyimbo yoyote New york City?. Hebu chukulia mfano leo Ney wa mitego ajilipue atunge nyimbo awaimbe wauza madawa wote bongo halafu na wao kumkomoa wanazuia hakuna mtu yeyote Bongo kumrecordia Ney nyimbo.
Basi hiyo ndio ilimtokea 50 cent baada ya kuimba nyimbo fulani akaiita Ghetto Qur'an. Hiyo nyimbo ilivuja miaka ya 2000, yani humo ndani jamaa kawachana wauza madawa wote waliokuwa wanafanya biashara huko South Jamaica, Queens Marekani.
Wafanyabiashara kama Hamsini hivi jamaa aliwasnitch ndani ya nyimbo yake kama Kenneth 'SuPreme' McGriff na binamu yake Gerald Prince Miller hawa wote walikuwa vioongozi wa kundi moja matata la Supreme Team.
Baada ya jamaa kumblacklist 50 Cent studio zote za New York, kuna producer mmoja aliitwa Jam Master Jay yeye akaweka ngumu akaamua kumsaidia 50 Cent kurecord nyimbo kumbuka hapo bado 50 Cent sio huyo tunayemjua leo yani kajamaa ni kaunderground tu halafu kakaamuua kujilipua kurecord kitu ambacho hata wakubwa kama Jah rule walikua hawawezi kukiimba.
Sasa jamaa baada ya kuona kumbe biti lao halijawaingia baadhi ya vinega ikabidi wafanye street justice, 50 Cent akala mvua ya risasi 9 na huyo producer wake akauliwa kwa risasi pia!. Bahati nzuri 50 Cent akapona majeraha lakini ujumbe akawa kapata, akagoma wapa ushirikiano polisi kukamata wabaya wake na ikabidi nyimbo nyingine akazirecord Canada.
Ile nyimbo baadae ilikuja rudia wekwa kwenye mixtape ya 50 Cent ya mwaka 2002 iliyoitwa Guess Who's Back? hivyo ikaendelea itwa jina lake hivyo hivyo "Ghetto Qua'ran".
Huyu Kenneth McGriff ambaye ndio alikuwa kiongozi wa hilo kundi la supreme team alikuja kamatwa na kafungwa kifungo cha maisha bila uwezekano wa kuja samehewa na ni rafiki mkubwa wa Irving au "Irv Gotti" ambaye ndio muanzilishi wa Murder Inc.. Ukitaka kumjua huyo Kenneth "Supreme" McGriff na binamu yake Gerald "Prince" Miller wacheki kwenye movie ya 50 Cent - Get Rich or Die Tryin' wameigizwa kama Levar na Majestic.
Hilo kundi la Supreme Team unaambiwa lilikuwa hatari inakadiriwa lilikuwa na wanachama hadi 2,000 New york City, na mawasiliano yao walikuwa wanatumia code na namba zao maalum hakuna kutumia maneno kikawaida.
Maboss wake walikuwa na mabodyguard kibao halafu wakitaka kwenda sehemu kinatumwa kikosi kinakuwa na radio call watu wanawekwa hadi juu ya maghorofa kuangalia usalama.
Huna lolote wewe! Ongelea habari za kina Juma Nature na Mc Pilipili ndio unayoyaweza. Mkiwa kwenye vijiwe vya kahawa mnaporojokaaaa na kujazana milimau tele.Sifa gani za kipuuzi tulizompa!?.. kati ya nilizotaja ipi sio yake?..
You think you know all while you don't!..
Hivi unajua Connecticut kuna siku maalum ya kumkumbuka 50 cent inaitwa " 50 Cent Curtis Jackson Day" jamaa alipewa na Meya wa Jiji funguo ya Jiji!..P. I. M. P ilileta impact gani kwenye jamii ya kizungu?
Ha ha ha kumbe Joe Crack ni muogaaaaaWakati Beef la 50 na Fat Joe limefika pabaya,Fat Joe akaongea na vyombo vya habari anamuomba 50 beef liwe kwenye nyimbo Tu wasije wakataftana mtaani coz anajua Curtis mtu WA aina Gani..FIF,FERRARI..daah mmenikumbusha years ago
Mkuu huyu 50 atakuja kurudi kweli? Aliyemshoot kiukweli ukweli anaitwa Homo na hapo kwenye many men anasema Homo shoot me.....Aliempiga risasi 50,anaitwa Darryl Baum,alikua best friend na Body guard WA Mike Tyson..nae alipigwa risasi week 3 baada ya shambuliio la 50,bahati mbaya akafariki..kwenye many men 50 anasema "amo he shot me,3 weeks later he got shot down,he got hit like I got hit but he ain't fuckin breathing"
Unamzungumziaje Rakim katika kuandika mkuu, me naona hakuna anayegusa hapo sema tu hao wengine wamefanikiwa kujitangaza zaidi.Unaanisha HipHop sio?. Ndio.
Jay Z ndiye wa G.O.A.T. aliebakia duniani hai tangu Tupac na Biggie waage dunia. Ukimsikiliza lyrically, unakubali jamaa ni kichwa.
Tena sio kwenyw muziki tu hata kwenye Siasa alikua sapota mkubwa wa Barak Obama. Lakini amekua akiongea Vitu vyenye akili sana.
Na amepata Mke mrembo kwelikweli.
Bila kumsahau Diddy ambaye ana muda tangu aimbe mara ya mwisho lakini kwa vile biashara zinamuendea poa. Hakuna mbaya..
Rakim&Eric B..paid in full..hahaUnamzungumziaje Rakim katika kuandika mkuu, me naona hakuna anayegusa hapo sema tu hao wengine wamefanikiwa kujitangaza zaidi.
Kapanic tu huu ndo ulikuwa muda wake, maana mziki wa Swagg si ndo muda wake sasaHawezi..hah Ni kma Godzilla nae kapotea..game ime change
The seventh seal, nilikuwa namuaminia Nas lakini kwa Rakim mchumba tu kwenye kuandika. Ila tu Nas anajua kuweka ladha katika mziki wake ndo anapomuacha Rakim lakini kwenye content Rakim ni balaaRakim&Eric B..paid in full..haha
ha ha fifty kafilisika?Huyu Jamaa 50Cents "Curtis Jackson" ni mtu mwenye gubu na Wivu sana.
Pia 50Cents ana chuki na wasanii mbalimbali akiwemo Diddy "Sean Combs".
In short ni ngumu kwa yeye kuweza kua karibu na Diddy. Kama ambavyo ma GOAT wengine wakina JayZ, Ricky Roose, Dj khaleed, Nas, Snoop wanavyoonyesha Love kwa pamoja.
Maywether ana IQ kubwa katika maisha na anamuelewa sana.
50 Cents kwenye Bifu lake na Jefrey Artkins "Jarule" ilimsaidia sana kua Maarufu duniani.
Pia 50 Cents anaamini sana kupanda chati kwake kunategemea zaidi kiki na bifu.
Ndio maana amewekeza ubongo wake huko kuliko kitu kingine. Mpaka anaonekana kama ana akili ya kitineja wakati ni jitu zima linalo zeeka.
50Centa amewahi kushawishiwa na watu wengi sana, kupunguza lugha ya matusi kwenye Nyimbo zake. Akakataa na kulinganisha kitendo hiko ni sawa na kuondoa mstari Mwekundu kwenye bendera ya Marekani.
Alipigwa marufuku kukomunika na kanisa na pia marufuku kuvaa misalaba shingoni na Askofu wa kanisa katoliki kwasababu ya kuvaa kwenye miziki iliojaa matusi na tabia za kishetani.
Stori ya kupigwa risasi 9 inabaki kua ya kusadikika. Manake wakati inatumiwa kama kiki ya kumtoa kwenye moja ya Albamu yake miaka ile ya 2000s, ma Sherifs Nchini Marekani walianzisha uchunguzi kuhusu tukio hilo, manake walikua hawaijui.
Bifu lake la kulazimisha penzi kwa Olivia lilipelekea kumshusha sana. 50cents ni mtu anayeongea vibayavibaya. Hana Class.
Kwa sasa jama amefilisika. Na alishatangaza kufilisika. Hana tena Pesa ya kumpa Kibri.
Anajaribu tasnia ya Filamu. Na filamu pekee iliommulika vizuri itakua ni 14.
Kikundi chake cha G unit ndo hivyo tena kimeshapitwa na wakati.
Mtu anayeweza kua fascinated na 50 Cents atakua ni Immature. Anapenda mikwara ya kitoto na ya kimuvimuvi na kisinema zile za bolo young na Van dame.
But kwa wenye akili iliyokomaa hawawezi kubaliana na huyu mtu. Lyrically 50cents sio GoAt kabisa.