This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
msikitin kwenu mnatumia ghetto quran. acha mhemko wa kijingaGhetto Quran??????
Anawakorofisha waislam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msikitin kwenu mnatumia ghetto quran. acha mhemko wa kijingaGhetto Quran??????
Anawakorofisha waislam
50 Cent toka mtoto baada ya mama yake kuuliwa akaenda ishi na wajomba zake unaambiwa jamaa alikuwa anawasupply home mzigo wa cocaine!... Yani mjomba na ndugu wakipata arosto anawaambia kuna rafiki yangu anauza mzigo wanampa hela akawaletee kumbe anazunguka mtaani anarudi anawapa mzigo toka ndani ya nyumba humo humo[emoji2]. Badae alikuja kamatwa na gun shuleni kwao ndio ikabidi awaambie na home yeye ndio supplier wao na anauza sana!!... Jamaa ni gangstar hasa!.
Usiseme watu weusi sema masikini!!..Kuna masikini weupe nao wanafanya hayo hayo!..watu weusi akili zetu tunazijua wenyewe, unamtuma mtoto wako akakununulie madawa ya kulevya? bahati nzuri 50 alikuwa na self discpline la sivyo na yeye angekuja kuwa teja tu!
Usiseme watu weusi sema masikini!!..Kuna masikini weupe nao wanafanya hayo hayo!..
50 alikuwa na ndoto sana toka kadogo lasivyo angekuwa teja kama R.Kelly
The messageInaitwaje hiyo nyimbo!!??..
PIA wana album ya pamoja.best of both....Alikuwa teja kipindi hiko, unazani kisa cha Kelly na Jigga kugombana ilikuwa nini!?..
Walianzisha tour lakini ikawa rehersal, kelly haonekani anapotea kufanya yake ikawa inamkera Jigga!.
Never Get High On your own supplywatu weusi akili zetu tunazijua wenyewe, unamtuma mtoto wako akakununulie madawa ya kulevya? bahati nzuri 50 alikuwa na self discpline la sivyo na yeye angekuja kuwa teja tu!
Bila shaka unazungumzia powerDuuuuhhhhh,noma sana...huwa kuna movie fulani ya 50 Cent siifaham kwa jina lkn ndani yake huwa kuna mauaji sana na matumizi ya madawa wa kulevya,kama unaifaham kwa jina naomba unifahamishe!
Before I self destruct
Atakuwa kailenga powerbefore i self destruct haina violence sana kama ndio aliyokuwa anaifikiria huyu jamaa
power mbona sio movieAtakuwa kailenga power
Hivi power naipata wapi mkuupower mbona sio movie
download mzee,me ninayo yote..iko poa itafteHivi power naipata wapi mkuu
Site gani mzeedownload mzee,me ninayo yote..iko poa itafte
ebhana wee yani huko wanauana tu kama kawaida!50 ni real gangster.. Licha ya kuuza madawa kwa miaka kibao hajui ladha ya cocaine wala heroine.. Hajawahi kuonja. Na alikuwa na adabu sana mbele ya bibi yake hivyo bibi akuwahi kuamini kama mjukuu wake ni jiwe na alianza kulipa bills za Nyumba ya bibi yake akiwa bado mtoto anauza unga street.
Hadi Leo bibi yake 50 anasema 50 ni mpole na mkarimu ila kitaani wanakwambia jamaa ana kauli mbiu yake moja kwamba "show no love..love will get you killed" kwa hiyo yeye kabla hujamkill anakukill wewe.
zipo nyingi but me napenda pirate bay..nashusha season yote..Site gani mzee