Ghetto Qura'n na kisa cha 50 Cent kupigwa risasi..

Ghetto Qura'n na kisa cha 50 Cent kupigwa risasi..

50 Cent toka mtoto baada ya mama yake kuuliwa akaenda ishi na wajomba zake unaambiwa jamaa alikuwa anawasupply home mzigo wa cocaine!... Yani mjomba na ndugu wakipata arosto anawaambia kuna rafiki yangu anauza mzigo wanampa hela akawaletee kumbe anazunguka mtaani anarudi anawapa mzigo toka ndani ya nyumba humo humo[emoji2]. Badae alikuja kamatwa na gun shuleni kwao ndio ikabidi awaambie na home yeye ndio supplier wao na anauza sana!!... Jamaa ni gangstar hasa!.

watu weusi akili zetu tunazijua wenyewe, unamtuma mtoto wako akakununulie madawa ya kulevya? bahati nzuri 50 alikuwa na self discpline la sivyo na yeye angekuja kuwa teja tu!
 
watu weusi akili zetu tunazijua wenyewe, unamtuma mtoto wako akakununulie madawa ya kulevya? bahati nzuri 50 alikuwa na self discpline la sivyo na yeye angekuja kuwa teja tu!
Usiseme watu weusi sema masikini!!..Kuna masikini weupe nao wanafanya hayo hayo!..
50 alikuwa na ndoto sana toka kadogo lasivyo angekuwa teja kama R.Kelly
 
Duh R.kelly ni mteja sahivi?
Usiseme watu weusi sema masikini!!..Kuna masikini weupe nao wanafanya hayo hayo!..
50 alikuwa na ndoto sana toka kadogo lasivyo angekuwa teja kama R.Kelly
 
50 ni real gangster.. Licha ya kuuza madawa kwa miaka kibao hajui ladha ya cocaine wala heroine.. Hajawahi kuonja. Na alikuwa na adabu sana mbele ya bibi yake hivyo bibi akuwahi kuamini kama mjukuu wake ni jiwe na alianza kulipa bills za Nyumba ya bibi yake akiwa bado mtoto anauza unga street.

Hadi Leo bibi yake 50 anasema 50 ni mpole na mkarimu ila kitaani wanakwambia jamaa ana kauli mbiu yake moja kwamba "show no love..love will get you killed" kwa hiyo yeye kabla hujamkill anakukill wewe.
ebhana wee yani huko wanauana tu kama kawaida!
 
Back
Top Bottom