Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndio penyewe mkuu o2tv naikubali kinouma noumaaIngia HAPA
Huyu Jamaa 50Cents "Curtis Jackson" ni mtu mwenye gubu na Wivu sana.Umewahi sikia kisa fulani cha 50 Cents kufungiwa kurecord nyimbo yoyote New york City?. Hebu chukulia mfano leo Ney wa mitego ajilipue atunge nyimbo awaimbe wauza madawa wote bongo halafu na wao kumkomoa wanazuia hakuna mtu yeyote Bongo kumrecordia Ney nyimbo.
Basi hiyo ndio ilimtokea 50 cent baada ya kuimba nyimbo fulani akaiita Ghetto Qur'an. Hiyo nyimbo ilivuja miaka ya 2000, yani humo ndani jamaa kawachana wauza madawa wote waliokuwa wanafanya biashara huko South Jamaica, Queens Marekani. Wafanyabiashara kama Hamsini hivi jamaa aliwasnitch ndani ya nyimbo yake kama Kenneth 'SuPreme' McGriff na binamu yake Gerald Prince Miller hawa wote walikuwa vioongozi wa kundi moja matata la Supreme Team.
Baada ya jamaa kumblacklist 50 Cent studio zote za New York, kuna producer mmoja aliitwa Jam Master Jay yeye akaweka ngumu akaamua kumsaidia 50 Cent kurecord nyimbo kumbuka hapo bado 50 Cent sio huyo tunayemjua leo yani kajamaa ni kaunderground tu halafu kakaamuua kujilipua kurecord kitu ambacho hata wakubwa kama Jah rule walikua hawawezi kukiimba.
Sasa jamaa baada ya kuona kumbe biti lao halijawaingia baadhi ya vinega ikabidi wafanye street justice, 50 Cent akala mvua ya risasi 9 na huyo producer wake akauliwa kwa risasi pia!. Bahati nzuri 50 Cent akapona majeraha lakini ujumbe akawa kapata, akagoma wapa ushirikiano polisi kukamata wabaya wake na ikabidi nyimbo nyingine akazirecord Canada.
Ile nyimbo baadae ilikuja rudia wekwa kwenye mixtape ya 50 Cent ya mwaka 2002 iliyoitwa Guess Who's Back? hivyo ikaendelea itwa jina lake hivyo hivyo "Ghetto Qua'ran".
Huyu Kenneth McGriff ambaye ndio alikuwa kiongozi wa hilo kundi la supreme team alikuja kamatwa na kafungwa kifungo cha maisha bila uwezekano wa kuja samehewa na ni rafiki mkubwa wa Irving au "Irv Gotti" ambaye ndio muanzilishi wa Murder Inc.. Ukitaka kumjua huyo Kenneth "Supreme" McGriff na binamu yake Gerald "Prince" Miller wacheki kwenye movie ya 50 Cent - Get Rich or Die Tryin' wameigizwa kama Levar na Majestic.
Hilo kundi la Supreme Team unaambiwa lilikuwa hatari inakadiriwa lilikuwa na wanachama hadi 2,000 New york City, na mawasiliano yao walikuwa wanatumia code na namba zao maalum hakuna kutumia maneno kikawaida. Maboss wake walikuwa na mabodyguard kibao halafu wakitaka kwenda sehemu kinatumwa kikosi kinakuwa na radio call watu wanawekwa hadi juu ya maghorofa kuangalia usalama.
Ain't eat this layerHuyu Jamaa 50Cents "Curtis Jackson" ni mtu mwenye gubu na Wivu sana.
Pia 50Cents ana chuki na wasanii mbalimbali akiwemo Diddy "Sean Combs".
In short ni ngumu kwa yeye kuweza kua karibu na Diddy. Kama ambavyo ma GOAT wengine wakina JayZ, Ricky Roose, Dj khaleed, Nas, Snoop wanavyoonyesha Love kwa pamoja.
Maywether ana IQ kubwa katika maisha na anamuelewa sana.
50 Cents kwenye Bifu lake na Jefrey Artkins "Jarule" ilimsaidia sana kua Maarufu duniani.
Pia 50 Cents anaamini sana kupanda chati kwake kunategemea zaidi kiki na bifu.
Ndio maana amewekeza ubongo wake huko kuliko kitu kingine. Mpaka anaonekana kama ana akili ya kitineja wakati ni jitu zima linalo zeeka.
50Centa amewahi kushawishiwa na watu wengi sana, kupunguza lugha ya matusi kwenye Nyimbo zake. Akakataa na kulinganisha kitendo hiko ni sawa na kuondoa mstari Mwekundu kwenye bendera ya Marekani.
Alipigwa marufuku kukomunika na kanisa na pia marufuku kuvaa misalaba shingoni na Askofu wa kanisa katoliki kwasababu ya kuvaa kwenye miziki iliojaa matusi na tabia za kishetani.
Stori ya kupigwa risasi 9 inabaki kua ya kusadikika. Manake wakati inatumiwa kama kiki ya kumtoa kwenye moja ya Albamu yake miaka ile ya 2000s, ma Sherifs Nchini Marekani walianzisha uchunguzi kuhusu tukio hilo, manake walikua hawaijui.
Bifu lake la kulazimisha penzi kwa Olivia lilipelekea kumshusha sana. 50cents ni mtu anayeongea vibayavibaya. Hana Class.
Kwa sasa jama amefilisika. Na alishatangaza kufilisika. Hana tena Pesa ya kumpa Kibri.
Anajaribu tasnia ya Filamu. Na filamu pekee iliommulika vizuri itakua ni 14.
Kikundi chake cha G unit ndo hivyo tena kimeshapitwa na wakati.
Mtu anayeweza kua fascinated na 50 Cents atakua ni Immature. Anapenda mikwara ya kitoto na ya kimuvimuvi na kisinema zile za bolo young na Van dame.
But kwa wenye akili iliyokomaa hawawezi kubaliana na huyu mtu. Lyrically 50cents sio GoAt kabisa.
Wakati Beef la 50 na Fat Joe limefika pabaya,Fat Joe akaongea na vyombo vya habari anamuomba 50 beef liwe kwenye nyimbo Tu wasije wakataftana mtaani coz anajua Curtis mtu WA aina Gani..FIF,FERRARI..daah mmenikumbusha years ago
Wakati 50 anajaribu kubreak the mainstream kuna beats kibao maproducer walikuwa nazo hazina watu wa kuzitumia unaambiwa wasanii walikua hawawezi zitumia lakini 50 akiingia booth ana rap kama kazitengeneza yeye!Huyu Jamaa 50Cents "Curtis Jackson" ni mtu mwenye gubu na Wivu sana.
Pia 50Cents ana chuki na wasanii mbalimbali akiwemo Diddy "Sean Combs".
50 Cents kwenye Bifu lake na Jefrey Artkins "Jarule" ilimsaidia sana kua Maarufu duniani.
Pia 50 Cents anaamini sana kupanda chati kwake kunategemea zaidi kiki na bifu.
Stori ya kupigwa risasi 9 inabaki kua ya kusadikika. Manake wakati inatumiwa kama kiki ya kumtoa kwenye moja ya Albamu yake miaka ile ya 2000s, ma Sherifs Nchini Marekani walianzisha uchunguzi kuhusu tukio hilo, manake walikua hawaijui.
Kwa sasa jama amefilisika. Na alishatangaza kufilisika. Hana tena Pesa ya kumpa Kibri.
Anajaribu tasnia ya Filamu. Na filamu pekee iliommulika vizuri itakua ni 14.
Kikundi chake cha G unit ndo hivyo tena kimeshapitwa na wakati.
But kwa wenye akili iliyokomaa hawawezi kubaliana na huyu mtu. Lyrically 50cents sio GoAt kabisa.
Hiyo series actors wanatomba.na live... Halafu kuna amsha amsha si mchezo...Bila shaka unazungumzia power
Tommy mzungu jeuri ghost wakati mwingine anasanda kwa jamaa....Tommy na ghost wameinogesha sana power..
umekuja kubishana??huu ni uongo uliotukuka!!
Aliwasaini hata M.O.P Billy Danze & Lil FameWakati 50 anajaribu kubreak the mainstream kuna beats kibao maproducer walikuwa nazo hazina watu wa kuzitumia unaambiwa wasanii walikua hawawezi zitumia lakini 50 akiingia booth ana rap kama kazitengeneza yeye!
Hivi unajua beat la 'In Da Club' lilitengenezwa kwa ajiri ya kundi la D12 lakini wakashindwa litumia ikabidi 50 apewe, akaua na matokeo ya hiyo nyimbo fatilia.
Hivi unajua beat ya gharama zaidi miaka hiyo ilikua Candy shop by Scott scorch!?.
Unajua unaposema ana chuki kisa hana mafanikio unashangaza. unajua 50 ndio msanii wa kwanza duniani kuingiza nyimbo 3 top 5 Billboard ndani ya wiki ya kwanza "Candy Shop, Disco Inferno na How We Do."
50 hana chuki isipokuwa mazingira aliyokulia ya beef sana na kama hujui beef la Jah rule na 50 moja ya sababu ni kuwa 50 alikuja kumshusha popularity Jah rule!.
Lile Jengo zima la Mike tyson 50 alilinunua kwa nyimbo ya 'In da Club' pekee.
Unajua Mobb Deep waliwahi kumilikiwa na 50 kwenye G-Unit na jamaa akawapa wote magari ya Porsche (Prodigy na Havoc).
Tony Yayo, Busta Rhymes na Rakim walipewa beat ya Heat wakashindwa kuiimbia, 50 akapewa akaua unasemaje jamaa ni kick.
Unajua jamaa ana BET, Billboards, Grammy Awards na Tuzo nyingne ngapi!?. au mafanikio kwako ni yapi!?.
Unajua 50 aliwahi fika hadi top 5 ya wasanii matajiri zaidi duniani? mafanikio yapi ya kick hapo au forbes nao wanahesabu hadi kick?.
Kifupi kila kitu kina downfall kipindi cha 50 Cent kimepita kama kilivyo kipindi cha Jigga, Nas, Lil wayne na wengine.
Eti wewe ndio wa kusema 50 hakupigwa risasi 9 really!?.. Ina maana unapingana na ripoti za NYPD?.
Umeongea pumba sana!!..rudi research
sasa huyu jamaa anakuja anasema 50 hana mafanikio kwa style ipi sijui!..Aliwasaini hata M.O.P Billy Danze & Lil Fame
Get rich or die richDuuuuhhhhh,noma sana...huwa kuna movie fulani ya 50 Cent siifaham kwa jina lkn ndani yake huwa kuna mauaji sana na matumizi ya madawa wa kulevya,kama unaifaham kwa jina naomba unifahamishe!
sio maana hiyo ni qur ar n mwandish kachalazaGhetto Quran??????
Anawakorofisha waislam
Mbona umewekeza sana kumuelewa mwanaume mwenzako???Huyu Jamaa 50Cents "Curtis Jackson" ni mtu mwenye gubu na Wivu sana.