Ghorofa lapolomoka watu 15 hawajulikani walipo

Janga ni janga, leo kwake kesho kwako, kwanini msiwape pole na comments zinazo make sense!?, POLENI JIRANI ZETU

Pole haitatui matatizo yatokanayo na uzembe, hatua lazima zichukuliwe. Pole, mapenzi ya Mungu na upuuzi mwingine havina nafasi.
 
Hujaelewa swali, nimekuuliza rais anaruhusiwa kuzihaki? sijasema amemzihaki mtu, mwafwaaa
Kwanza Kwanini mnamuingiza Rais kwenye mada zakipumbavu
Kuweni na heshima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…