Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye Kiwanja Ongezea 35Mil ingine, ili total ifike 200MilHiyo nyumba thamani yake mpk hapo ilipofikia haijafika milioni 120. Tuchukulie kiwanja ni milioni 30 na ukiweka na faida milioni 15 inatakiwa kuuzwa labda milioni 165 na si Zaidi ya hapo
Hiyo sehemu siyo ya kuuzwa milioni 65 kwani Masaki hapo?Kwenye Kiwanja Ongezea 35Mil ingine, ili total ifike 200Mil
Mkuu milioni 30 huwezi pata kiwanja MBEZI beach chenye hati. Pamoja na vyuma vya uncle magu hizo ni bei za Viwanja huko bunju, mbweni nk.tena medium to high density.Hiyo nyumba thamani yake mpk hapo ilipofikia haijafika milioni 120. Tuchukulie kiwanja ni milioni 30 na ukiweka na faida milioni 15 inatakiwa kuuzwa labda milioni 165 na si Zaidi ya hapo
Hahaaa!mkuu hapa kama umeongea kwa jazba na steless hivi!!!au nawe umekosa ongezeko la mshahara!!!Wabongo wangese sana mil 600 mama yako alinipa hela?
Liko Mbezi Beach-Jogoo ( mita 700 kutoka barabara kubwa).
Vyumba vitano vya kulala ikiwemo master bed room na baby room,sebule,dining,jiko na store
Nyumba ina nyaraka zote muhimu
Bei ni Million 600(maelewano yapo). Mwenye kuhitaji ani Pm nimpe namba ya muuzaji na sio dalali (my Brother).
Karibuni sana