ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
-
- #21
Waliokuwa wana design huo upuuzi walikuwa wanatumia akili?Pale hakuna abiria wengi wanaolala, hivyo kama kule juu kuliandaliwa kwa ajili ya malazi, usitegemee watu kuwekeza kusiko na faida
Alafu stendi hapo ufanye biashara gani yaani ....???Kama hakuna watu wa kutosha hata frame zikiwa Bure hakuna kitu
Tuwaulize nyie mnaojenga magorofa kwenye stendiAlafu stendi hapo ufanye biashara gani yaani ....???
Ova
Nenda kwenye Jengo la Stendi kuu la Job Ndugai Dodoma. Floor ya juu ipo wazi na mbaya zaidi ceiling tiles zimeanza kudondoka.Hii ndio miradi tuliyokuwa tunasifiana awamu zilizopita.
Bora hizi hela zingenda kwenye Kilimo na kuwapa watu Ajira.
Bilioni 50 zimetumika, lakini ghorofa mbili ziko tupu! Stendi ya Magufuli inatarajiwa kuingiza Sh10 bilioni kwa mwaka, lakini hali ni tofauti. Nini kinaendelea?
Stendi zote zilizojengwa awamu Ile hazitumiki ,hii itufundishe Serikali isirudie kujenga Majengo ya gorofa kwenye mastendi.
Wangeibaje? Wangeonekanaje kama waanatekeleza na kuunga mkono juhudi??Hakuna stendi hata moja ambayo inafanya vizuri kwanza zilijengwa maporini pili ziliwekewa majengo ya gorofa bila kuangalia kama Yana faida Kwa Sasa au mda wa kati au hapana.
Wazalendo wanaibaga? 😆😆Wangeibaje? Wangeonekanaje kama waanatekeleza na kuunga mkono juhudi??
Ilifika wakati kubakisha chenji kama alivyofanya ndugai pale bungeni ilikuwa sifa kuu mbele ya bwana mkubwa!
Yaani una panga bajeti ambayo hutaimaliza na una sifiwa kubana matumi!I.???
Walikuwa wanatii maelekezo toka juu bila kujali kama yana tija au laaaWaliokuwa wana design huo upuuzi walikuwa wanatumia akili?
Jamaa zako wangeenda hata kujifunza nchi jirani namna wanavyojenga vituo vyaoTuwaulize nyie mnaojenga magorofa kwenye stendi
Shangaa wewe. Msasani nyumbani kwake mwalimu hata taa za barabarani hakuna. Hawa waliojiiuzia nyumba za umma wanajiita wazalendo na watete!I wa wanyonge ????Wazalendo wanaibaga? 😆😆
Ndio hasara ya kuwa na mtu asiyeshaurika na asieleqa uchumi,mwenye mihemko,mpenda sifa na mkurupukaji.Walikuwa wanatii maelekezo toka juu bila kujali kama yana tija au laaa
Stendi hata fremu ziwe Bure unauza nini? Haya wanaomiliki hii stendi wao Wameshindwa kutafuta akili za kutumia?Tatizo sio utupu wa hizo ghorofa bali kodi kubwa kuliko uhalisia
Stendi ta mabasi tunahitaji magari yaingie kwa haraka na kutoka kwa haraka hivyo kinachohitajika kama kipaumbele ni barabara ila viongozi wetu wanatoa kiumbele kwa nyumba.Tuwaulize nyie mnaojenga magorofa kwenye stendi
Unapolinganisha na za nchi gani kwa mfanoMipango mizuri ipi wakati alishaharibu? Hakuna Cha Mpango mzuri ndio maana nimesema Serikali iache kujenga Majengo ya gorofa kwenye stendi.
Kazi ya stendi ni kushusha na kupakia,majengo ya gorofa ya mabilioni ni ya nini?
Wapi nimesema? Nimeelezea Mirai ya hovyo isiyo na Tija na ya kukurupuka ilivyoharibu hii Nchi na haya yote yalifanywa na yule mtu wenu.
Nchi jirani au hata awamu ya 6Unapolinganisha na za nchi gani kwa mfano
Aliyetunga wimbo wa taifa alikosea sana! Pale aliposema " wabariki viongozi wote" hata wale wezi pale lumumba nao wabarikiweee???Wazalendo wanaibaga? 😆😆