Ghorofa mbili hadi sasa zipo tupu Stendi ya Magufuli

Uongozi/ viongozi wote wa Jiji la DSM wamefeli kusimamia na kufuatilia mradi huo.
Stendi kubwa kama hiyo inayo ingiza raia wa kigeni kitoka mataifa mbalimbali........!!!! hata hapo mnataka tuweke wawekezaji???!!!!
 
Attachments

  • 20250208_091134.jpg
    20250208_091134.jpg
    754.4 KB · Views: 24
Stendi ambazo majengo yapo tupu wafanye mradi wa air BNB....utarudisha hela haraka mno
 
Kwani ni serikali ya chama gani ?.ili swali sawa na kuuliza kinyesi ulichokunya ukiwa chooni
 
Mapato ya bilioni kumi kwa mwaka ni wastani wamilioni ishirini na Saba kwa siku..... Pengine makadirio ya makusanyo ni makubwa. .....kuhusu jengo mamlaka ziweke matangazo uwepo wa jengo wadau wawekeze
 
Hii ndio miradi tuliyokuwa tunasifiana awamu zilizopita.

Bora hizi hela zingenda kwenye Kilimo na kuwapa watu Ajira.

Bilioni 50 zimetumika, lakini ghorofa mbili ziko tupu! Stendi ya Magufuli inatarajiwa kuingiza Sh10 bilioni kwa mwaka, lakini hali ni tofauti. Nini kinaendelea?

Stendi zote zilizojengwa awamu Ile hazitumiki ,hii itufundishe Serikali isirudie kujenga Majengo ya gorofa kwenye mastendi.

Pia soma Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma yageuka kuwa Gofu. Ni muendelezo wa miradi ya kukurupuka ya wakati ule
Tuwape Wachina uone kama hazijai siku hiyo hiyo Moja
 
Hii ndio miradi tuliyokuwa tunasifiana awamu zilizopita.

Bora hizi hela zingenda kwenye Kilimo na kuwapa watu Ajira.

Bilioni 50 zimetumika, lakini ghorofa mbili ziko tupu! Stendi ya Magufuli inatarajiwa kuingiza Sh10 bilioni kwa mwaka, lakini hali ni tofauti. Nini kinaendelea?

Stendi zote zilizojengwa awamu Ile hazitumiki ,hii itufundishe Serikali isirudie kujenga Majengo ya gorofa kwenye mastendi.

Pia soma Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma yageuka kuwa Gofu. Ni muendelezo wa miradi ya kukurupuka ya wakati ule
Pumbavu kabisa ww kima chawa asiekua na muda wa kutafakari alisemalo
 
Hii ndio miradi tuliyokuwa tunasifiana awamu zilizopita.

Bora hizi hela zingenda kwenye Kilimo na kuwapa watu Ajira.

Bilioni 50 zimetumika, lakini ghorofa mbili ziko tupu! Stendi ya Magufuli inatarajiwa kuingiza Sh10 bilioni kwa mwaka, lakini hali ni tofauti. Nini kinaendelea?

Stendi zote zilizojengwa awamu Ile hazitumiki ,hii itufundishe Serikali isirudie kujenga Majengo ya gorofa kwenye mastendi.

Pia soma Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma yageuka kuwa Gofu. Ni muendelezo wa miradi ya kukurupuka ya wakati ule
Kwanini zipo wazi ni uzembe wa serikali ya chama cha mapinduzi na raisi wake...walioshindwa kudhibiti stand bubu kurudi mjini na kujazana huko.....
 
Hata stendi za nyegezi na nyamhongolo hapa mwanza hali ni hiohio
 
Hii ndio miradi tuliyokuwa tunasifiana awamu zilizopita.

Bora hizi hela zingenda kwenye Kilimo na kuwapa watu Ajira.

Bilioni 50 zimetumika, lakini ghorofa mbili ziko tupu! Stendi ya Magufuli inatarajiwa kuingiza Sh10 bilioni kwa mwaka, lakini hali ni tofauti. Nini kinaendelea?

Stendi zote zilizojengwa awamu Ile hazitumiki ,hii itufundishe Serikali isirudie kujenga Majengo ya gorofa kwenye mastendi.

Pia soma Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma yageuka kuwa Gofu. Ni muendelezo wa miradi ya kukurupuka ya wakati ule
Mambo ni yale yale.Mchinga complex.Nyumba za Nssf,pssf etc.Ni miradi yenye faida kwenye makaratasi.Hiv unajua nyumba nyingi sana nchini zimejengwa na serikali Sijui nhc,tba,Nssf n.k.na ni miradi ya mabilioni ya fedha.ila haziuziki kabisa wala kupangishika kabisa.

Sasa wewe unataka kuweka restaurants za level ya Kfc stendi ya basi nani atanunua chakula cha hiyo bei.hata kwenye train steshen nimeona vimigaha na maduka.nadhani nao ni muda kidogo umebaki kabla ya kufunga.Hizo ni cope paste.
 
Hii ilikuwa miradi ya watu kujipigia hela,,jamaa yule alikuwa anapiga hela kwenye miradi mikubwa
 
Utafanya air bnb stendi iliyo busy na movement mahoni kama magufuli stand, utaenda kulala na mama yako pale.

Back
Top Bottom