Ghorofa za Afrika ni lazima ziwe na balcony, balcony huongeza gharama za ujenzi

Ghorofa za Afrika ni lazima ziwe na balcony, balcony huongeza gharama za ujenzi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1727168562163.png

Inawezekana ni kwasababu ya hali ya hewa, ghorofa za Ulaya Mara nyingi huwa hazina balcony.
 
Most un affordable streets in london appartment zake zote zina balcony, Balcony proves wealth, a place to settle. Hii ya Africa kusema ndio inaongoza unatupiga chenga.
You enjoy, entertain guests with a balcony on your house.
Yaani ulaya nyumba nyingi kali zina balcony, same with Africa,
Wazee wekeni balcony majumba yenu.
 
View attachment 3105246
Inawezekana ni kwasababu ya hali ya hewa, ghorofa za Ulaya Mara nyingi huwa hazina balcony.
Jibu hili hapa "Inawezekana ni kwasababu ya hali ya hewa, ghorofa za Ulaya Mara nyingi huwa hazina balcony"Unaenda balcony kufanya nini wakati kuna baridi,huku kwetu hali ya hewa inakulazimu uweke hiyo kitu ili upate kupoza mwili...
 
Balcony ni starehe ışıyo na gharama, piga picha mvua inanyesha wewe uko balcony na kikombe chako cha chai ya viungo. Gharama ni ujenzi tu.
 
Back
Top Bottom