Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
UmefufukaView attachment 3105246
Inawezekana ni kwasababu ya hali ya hewa, ghorofa za Ulaya Mara nyingi huwa hazina balcony.
Hujaacha vitukoUlilala matanga yangu?😂
Hata mim sjamwelewa mtoa madaMost un affordable streets in london appartment zake zote zina balcony, Balcony proves wealth, a place to settle. Hii ya Africa kusema ndio inaongoza unatupiga chenga.
You enjoy, entertain guests with a balcony on your house.
Yaani ulaya nyumba nyingi kali zina balcony, same with Africa,
Wazee wekeni balcony majumba yenu.
😅😁😅😁😅😁😅😁Dalili mojawapo ya uzee ni kuzungumzia viwanja na ujenzi
Majengo mengi ya kizamani ndio walikuwa wanaweka Balconies kuanzia Georgian periodJibu hili hapa "Inawezekana ni kwasababu ya hali ya hewa, ghorofa za Ulaya Mara nyingi huwa hazina balcony"Unaenda balcony kufanya nini wakati kuna baridi,huku kwetu hali ya hewa inakulazimu uweke hiyo kitu ili upate kupoza mwili...
Kabla ya kujengwa London Under ground rail hiyo mitaa ndiyo waliishi matajiri.Majengo mengi ya kizamani ndio walikuwa wanaweka Balconies kuanzia Georgian period
Leo ukiangalia hata Buckingham Palace ndio wafalme wote walikuwa wanasimama na familia zao
Hata majumba mengi ya ghali mno London ndio yenye Balcony na yapo kwenye National Heritage list ambapo hauwezi kubadili chochote ili kuchunga hadhi ya nyumba hizo
Balozi wetu pia wapo sehemu ghali sana ila sio zile za kwenye list kama hapo Pall Mall au St James karibu tu na ubalozi
Three bed ni £14m kwa zetu zero zitakuwa nyingi sana
Ulipotea sana, au ndiyo umezamia mazima huko Bristol?View attachment 3105246
Inawezekana ni kwasababu ya hali ya hewa, ghorofa za Ulaya Mara nyingi huwa hazina balcony.
😆😆😆Maisha udwanzi sana,basi tu..unahangaika mwisho unazeeka hata kutembea huwezi
Vipi mnaendeleaje huko Piccadilly Circus?Kabla ya kujengwa London Under ground rail hiyo mitaa ndiyo waliishi matajiri.
Matajiri wengi walihama mitaa ya Oxfords Circus na Piccadilly Circus kupisha ujenzi huu wa rail. Wengi walihamia Windsor na waliweza kununua ardhi na kujenga mihenği ya kifahari.