Ghost voters walimsaidia Ruto kuingia Ikulu

So you want to say that Kenya is behind tanzania?
Yes kenya is behind Tanzania in many ways, social and political. ni economic base tu kenya imezidi Tanzania baada ya kufa Magufuli maana wakati wa Magufuli Tanzania economic growth ilikuwa 7% na kenya 5% ( soma report below).

Huyu mama yetu Samia akimaliza kujenga SGR ikafika Mwanza and Kigoma, Akimaliza kujenga Nyerere Dam ikaanza kuzalisha umeme na akifanya English kuwa teaching language from primary school to chuo kikuu basi Kenyans mmekwisha trust me!

Ona!

Tanzania kuna chakula kenya hakuna.
Tanzania kuna mvua kenya hakuna
Tanzania hakuna ukabila kenya upo
Tanzania kila mtu anamiliki ardhi kenya hakuna matajiri tu wanamiliki
Tanzania hakuna mauaji ya uchaguzi kenya wanauana
Tanzania sote tunavaa viatu kenya kule kisumu wanatembea bila viatu
Tanzania SGR itafika destination kenya imeishia naivasha sababu ya ufisadi
Tanzania hakuna locust kenya wapo
Tanzania unaoa kabila lolote kenyan jaluo hawezi kuoa kikuyu
Tanzania unasaidiwa na usiowajua kenya ni ndugu tu

Tanzania hatuji kenya kutafuta kazi wakenya wanakuja tz kufundisha English ya is and was kwa primary schools! maneno mengi ya English mkenya kutafuta sifa ya kuonesha anajua kuongea English shida tupu mara ooh "you know Mr Excellency I don't have money today" , wewe mkenya sema standard English maneno machache " I am broke today Sir" , mara mkenya huyo ooh "Mr Excellency I am feeling very hungry today" wewe mkenya sema standard English maneno machache " I am starving Sir"!

Tanzania huwezi kukuta lodge kuna sex workers kenya wamejaa Latema road
Tanzania is big in size kenya ni ndogo
Tanzania has many big national parks like serengeti and other national parks kenya kuna masai mara tu
Tanzania has Mt Kilimanjaro kenya zero
Tanzania has 3 big ports na ya nne Bagamoyo inajengwa kenya ipo mombasa tu
Tanzania has bigger population kenya ni wachache
Tanzania has all types of precious stones kenya hakuna
kenya kuna al shabab wanaua wakenya Tanzania hakuna
Tanzania has bigger and modern army kenya hakuna


wakenya msijidanganye kuwa mmeizidi tz kuweni makini sisi watz sio wajinga kama mnavyojiaminisha, we know what we do!

wataka zaidi?
 
sisi watz tunatafuta kenyan weakness ili one day tuwe largest east African economy.

Mfano kenya ilishindwa kumaliza SGR kwa ufisadi sisi tukaiba idea tunajenga SGR to connect Tz na nchi za maziwa makuu tuue uchumi wa kenya kupitia bandari ya mombasa.

kenya ilikuwa na deal la bomba la gesi na Uganda tukaiba deal

kenya walitangaza sana Mt Kilimanjaro iko kenya tumewambia ukweli international community kupitia Royal Tour yetu kuwa Mt Kilimanjaro iko TZ sio kenya

kenya walitangaza sana Wilderbeasts wako kenya tumewambia ukweli international community kuwa Wilderbeasts home kwao ni Serengeti ambako hukaa ten good months na masai mara kenya hukaa two months tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…