samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 355
Kwa uandishi wa hii sredi mpaka najihisi kama ndani ya ubongo kuna makinikia mpaka siielewi,hebu iache hapohapo hiyo gari asbh tuulize labda utaeleweka.Wakuu , habari ya usiku huu, naomba ushauri kabla sijaenda kwa fundi , nimeipaki mahala nilipojaribu kuitoa P kwaenda drive D gia liva ikawa inashuka tu mojakwa moja bila kubadili gia , naombeni ushauri wenu mini laweza kuwa tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaaa haya, Akili inestack kabisaKwa uandishi wa hii sredi mpaka najihisi kama ndani ya ubongo kuna makinikia mpaka siielewi,hebu iache hapohapo hiyo gari asbh tuulize labda utaeleweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu , habari ya usiku huu, naomba ushauri kabla sijaenda kwa fundi , nimeipaki mahala nilipojaribu kuitoa gia liva kutoka P kwenda drive D gia liva ikawa inashuka tu mojakwa moja bila kubadili gia , naombeni ushauri wenu nini laweza kuwa tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
"Lock inatoa mawasiliano", "inaitwa convertor" wtf.Kuna lock ambayo inatoa mawasiliano baina ya gearbox na engine ndo imenyofoka kanunue hiyo au kwa jina lingine inaitwa convertor
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli mkuu na sidhani kama unachokiongea unaelewa unamaanisha nini.Kuna lock ambayo inatoa mawasiliano baina ya gearbox na engine ndo imenyofoka kanunue hiyo au kwa jina lingine inaitwa convertor
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisaa mkuuuPole sana mkuu kwa maelezo yako hayo ni kuwa cable ya gear river haifanyi kaxi aidha imekatika au imefunguka.
Inamaana hapo inatembea tu gear river na haitembezi selector shaft .
Sijajua unazungumzia batani ipo.kama ni ile iliyopo kwenye gear river yenyewe au ile iliyopo chini gari nyingi huwa ni nyekundu hutumika mbadala wa pale ambapo umeme utakuwa umeferi yenyewe utaitumia manually kutembeza gear river kutoka kwenye p kwenda r or d n,2or l.Sijawhi kujaribu na hii na hii ipo nje ya mada... naombeni kuuliza katika gear river hizi gari auto kuna batani ambayo unaibonyeza alafu unabadili gear sasa nauliza nini kinatokea pindi gari inatembea alafu ile batani ukaibonyeza????
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua unazungumzia batani ipo.kama ni ile iliyopo kwenye gear river yenyewe au ile iliyopo chini gari nyingi huwa ni nyekundu hutumika mbadala wa pale ambapo umeme utakuwa umeferi yenyewe utaitumia manually kutembeza gear river kutoka kwenye p kwenda r or d n,2or l.
Lkn kama ni ile iliyopo kwenye gear river ukifanya hivyo unaweza ukasababisha majanga kwenye gearbox.
Na mara nyingi huwa hivi gear river ikiwa kwenye p ni lazima ukanyage brake ndio uweze kuishift kutoka p kwenda sehem nyingine.
Na uzuri ikiwa kwenye d bila kukanyaga brake gear river itakubali kwenda kwenye N,2 na L position. Na kamwe haiwezi kwenda kwenye P na R mpaka ukanyage brake.
Hivyo kama utakuwa kwenye mwendo na uka tembeza gear river basi itatembea kwenda N sio mbaya haita leta madhara yoyote. Lkn kama utaipeleka kwenye 2 na L unaweza uka iharibu kabisa gearbox.
Maana unaweza ukawa kwenye speed kubwa na kitendo cha kutoka kwenye d mpaka 2 au L basi ukaleta majanga ya kupasua gear za ndani za gear box.
Ni vip utaharibu gear box .mfano unaendesha gari ya manually upo kwenye gear namba 5 speed kali upige change down kutoka namba 5 mpaka namba 1 nn kitatokea.

Au ni kile kitufe cha OD...Ahsante sana.. kwa ufahamu wangu najua utaharibu gear box sababu meno yapo katika mzunguko mkubwa alafu umeyalazimisha kwenda katika mzunguko mdogo bila kupunguza mwendo... alafu batani ninayoizungumzia nidhani ushaifahamu ni ile gari ikiwa katika P basi ukitaka kuweka D unakanyaga break alafu unabonyeza ile batani katika gear river alafu gear river unaipeleka D (((sijajua kitaalamu inaitwaje))... nimeelewa vizuri sana
Ila hapo hapo nina swali lingine kuna gari kama 2 nilipanda ni auto pia lakini akitoka P kwenda D au R akikanyaga moto ile gari ilikua inapiga race alafu inafanya kustuka ndo safari inaendelea hata akiwa katika foleni alafu ipo D wkati wa kuondoka ni hivyo hivyo... je nini tatizo AHSANTE
Sent using Jamii Forums mobile app
Over drive nakijua Mkuu.... wewee ni ile batani ambayo ipo katika kichwa cha gier river kwa pembeni kulia ambayo kama umeipark umeweka P ukitaka kuweka D unaibonyeza alafu unapeleka D huku umeibonyezaAu ni kile kitufe cha OD...
Aaah kile ukiwa unaisogeza gear rvr chenyewe unakipress kwa dole gumba...?Over drive nakijua Mkuu.... wewee ni ile batani ambayo ipo katika kichwa cha gier river kwa pembeni kulia ambayo kama umeipark umeweka P ukitaka kuweka D unaibonyeza alafu unapeleka D huku umeibonyeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Check hydraulic levelWakuu , habari ya usiku huu, naomba ushauri kabla sijaenda kwa fundi , nimeipaki mahala nilipojaribu kuitoa gia liva kutoka P kwenda drive D gia liva ikawa inashuka tu mojakwa moja bila kubadili gia , naombeni ushauri wenu nini laweza kuwa tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app