samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 355
Wakuu , habari ya usiku huu, naomba ushauri kabla sijaenda kwa fundi , nimeipaki mahala nilipojaribu kuitoa gia liva kutoka P kwenda drive D gia liva ikawa inashuka tu mojakwa moja bila kubadili gia , naombeni ushauri wenu nini laweza kuwa tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app