Kwa hiyo unataka kusema kura zilichakachuliwa au? Naomba unielezee fitna zilimfanyaje mpk akashindwa?Sio dunia sema baadhi ya wazungu tu maana Africa,Asia na America kusini walitangaza kumuunga mkono mwarabu.ndo maana tunasema ni fitna.
It's a clear message, dunia haiko tayari kuongozwa na mwarabu
Watu walishinikizwa na akina Hayatou waliokula pesa, ila kura inabaki kuwa siri ya mtu.Sio dunia sema baadhi ya wazungu tu maana Africa,Asia na America kusini walitangaza kumuunga mkono mwarabu.ndo maana tunasema ni fitna.
Duh, au mwarabu hakuweka wakala wa kuthibitisha kura, wakamkata huko hukoHata mi mkuu nilitegemea prince atapita, asia,africa na south america alikuwa amekubalika ile mbaya, ila basi tu mzungu hafai
ubaguzi wa rangi huo mkuuAfadhali yule mwarabu kakosa
hahaaa, hii kama kweli vile, ila kuisema nomaKama caf walikua wanamuunga mkono uyo mfalme wa Jordan basi bora tu alivokosa maana ukiona viongozi wa Africa wanakupenda ujue wewe ni mtoa rushwa. Hata blatter alipendwa sana na viongozi wa Africa.
Hapana mkuu...huyu alikuwa anataka kuwapa slope African countriesubaguzi wa rangi huo mkuu
Duh, au mwarabu hakuweka wakala wa kuthibitisha kura, wakamkata huko huko