Gianni Infantino aukwaa urais FIFA

Gianni Infantino aukwaa urais FIFA

Sio dunia sema baadhi ya wazungu tu maana Africa,Asia na America kusini walitangaza kumuunga mkono mwarabu.ndo maana tunasema ni fitna.
Kwa hiyo unataka kusema kura zilichakachuliwa au? Naomba unielezee fitna zilimfanyaje mpk akashindwa?
 
Binafsi nikiona kuna mtu anapendwa na viongozi wa afrika hii ya sasa huyo mi nakuwa kinyume naye. miafrika ya sasa inapenda rushwa na inanunulikwa kirahisi sana. haina msimamo na inayumbishwa kila kuchapo. apate tu huyo GIANNI nimefurah kwa jambo hili. na angepata mwarabu soka ndo lingeharibika zaidi maana waarabu wangetunyanyasa sana tunapoenda cheza mech kwenye nchi zao. si tunaona kwa sasa CAF ipo nchi za kiarabu na jinsi tunavyoteseka.
 
Huyo mwarabu angeharibu mpira; Bora walivyomshtukia mwishoni.

Infatino anaujua mpira vizuri & ana uzoefu mkubwa.
 
Sio dunia sema baadhi ya wazungu tu maana Africa,Asia na America kusini walitangaza kumuunga mkono mwarabu.ndo maana tunasema ni fitna.
Watu walishinikizwa na akina Hayatou waliokula pesa, ila kura inabaki kuwa siri ya mtu.

Kama waafrika mngekuwa na uchungu kwa nini msingempigia kura yule Msouth Afrika?!

By the way, Infatino alifanya kampeni kwa waafrika katika siku za mwisho & naamini walimuelewa kwa sera zake. Alikuwa akiwafuata wajumbe na kuwaelezea mipango yake. Wamevutiwa naye!!!
 
Sio dunia sema baadhi ya wazungu tu maana Africa,Asia na America kusini walitangaza kumuunga mkono mwarabu.ndo maana tunasema ni fitna.
Sio fitina...bali ni rushwa
Waarabu nao wamezidi kutugaidia
 
Kama caf walikua wanamuunga mkono uyo mfalme wa Jordan basi bora tu alivokosa maana ukiona viongozi wa Africa wanakupenda ujue wewe ni mtoa rushwa. Hata blatter alipendwa sana na viongozi wa Africa.
hahaaa, hii kama kweli vile, ila kuisema noma
 
Back
Top Bottom