Regent
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 2,306
- 3,576
Hakuna uwekezaji mkubwa uliowai kutokea na utakao kuja kutokea mpaka Dunia itakapoisha kama 'Sadaka yenye kuendelea'.
Uwekezaji huu utakupa Super Profit Consistency ukiwa hai mpaka ukifa na mifupa kupotea bado gawio lako la Hisa unapokea bila hasara yoyote ile.
Sadaka yenye kuendelea
*Kujenga visima vya maji
*Kujenga shule
*kujenga misikiti (kwa imani yang)
*NK
Hata ukishakufa watu wanapoendelea kutumia hivyo vitu unapata faida in term of swawabu.