Giants Simba Sc kuanzia round ya kwanza CAFCL

Hakuna habari zinaumiza Oya Oya FC Kama hizi ,[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ata msimu uliopita Simba alitolewa raundi iyoiyo ya kwanza kwenye ligi ya Mabingwa maana mbumbumbu fc awacheliwi kujisahaulisha.
 
Mungu ibariki SIMBA[emoji7]
 
Msimu uliopita Simba ilianzia hatua hiyo pia na kutolewa kwenye hatua hiyohiyo.....jipangeni
 
asingeshiriki,ni kama ilivyo hao wengine wapo juu lakini hawashiriki.
Angeshiriki yeye na mshindi wa kwanza, mshindi wa pili angepoteza nafasi hiyo, japo anaweza shiriki Confederation. Kiufupi bingwa wa champions league anapewa nafasi ya moja kwa moja kutetea ubingwa wake. Vile vile bingwa wa Confederation anapewa nafasi ya kutetea ubingwa wake, hatahivyo kama bingwa wa confederation nchini mwake amepata ubingwa ligi basi anapewa nafasi ya kuchagua ashiriki kombe lipi kati champions na confederation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…