Gibson Kawago: “Dongfen eπ 008 kwa umeme wa Tsh 21,000/= unatoka Dar hadi Njombe!”

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Hayo amesema Mwanzilishi wa kampuni WAGA Motion inayohihusisha na kutengeneza miundombinu ya kuchaji magari ya umeme majumbani na kwenye makampuni.
IMG_4169.jpeg

Hiyo Donfen ni kampuni ya Kichina inayotengeneza magari, na hii model eπ 008 ni REEV (ina engine na battery).

IMG_4165.jpeg
IMG_4168.jpeg

Juzi kati kijana alileta Tesla Model Y import kutoka US.
IMG_4164.jpeg
IMG_4163.jpeg

Tatizo magari yake ana import kutoka US na China Kwahiyo yanakua LHD sijui kwa barabara zetu inakuaje.
 
Hayo amesema Mwanzilishi wa kampuni WAGA Motion inayohihusisha na kutengeneza miundombinu ya kuchaji magari ya umeme majumbani na kwenye makampuni.
View attachment 3518646

Hiyo Donfen ni kampuni ya Kichina inayotengeneza magari, na hii model eπ 008 ni REEV (ina engine na battery).

View attachment 3518647View attachment 3518648

Juzi kati kijana alileta Tesla Model Y import kutoka US.
View attachment 3518649View attachment 3518650

Gari lolote unaweza badili kutoka LHD kuwa RHD, ni pesa yako tu
 
Hayo amesema Mwanzilishi wa kampuni WAGA Motion inayohihusisha na kutengeneza miundombinu ya kuchaji magari ya umeme majumbani na kwenye makampuni.
View attachment 3518646

Hiyo Donfen ni kampuni ya Kichina inayotengeneza magari, na hii model eπ 008 ni REEV (ina engine na battery).

View attachment 3518647View attachment 3518648

Juzi kati kijana alileta Tesla Model Y import kutoka US.
View attachment 3518649View attachment 3518650
Tatizo magari yake ana import kutoka US na China Kwahiyo yanakua LHD sijui kwa barabara zetu inakuaje.
Kazaneni kutangaza. Na hivi magari ya umeme bado ni jambo geni kwa Bongo, mtashika wengi wasiojua ukweli masikio.
 
Shida mafundi wa nchi hii wamekariri ufundi wa magari ya kizamani hawataki kurudi shule wajifunze teknolojia ya magari mapya, ndio maana kila new model inayoingia sokoni wao ni kujitetea tu kuwa gari mbovu kumbe hawana uwezo nalo.
Ni kweli unachosema ila baadhi ya mafundi Tanzania mimi nawapa big up sana tofauti na mnavyowazungumzia kwa sababu napokua na changamoto popote pale nakutana na mtu anajua gari..
Nilikua na tatizo la Audi Q 7 dogo mmoja alilitatua usiku hapo Msata siji kusahau na niliendelea na safari..
 
Hayo amesema Mwanzilishi wa kampuni WAGA Motion inayohihusisha na kutengeneza miundombinu ya kuchaji magari ya umeme majumbani na kwenye makampuni.
View attachment 3518646

Hiyo Donfen ni kampuni ya Kichina inayotengeneza magari, na hii model eπ 008 ni REEV (ina engine na battery).

View attachment 3518647View attachment 3518648

Juzi kati kijana alileta Tesla Model Y import kutoka US.
View attachment 3518649View attachment 3518650
Tatizo magari yake ana import kutoka US na China Kwahiyo yanakua LHD sijui kwa barabara zetu inakuaje.
Chuma Safi Sana, nadhani shida itakuwa mafundi, spare, miundombinu ya kucharge hiyo gari na mwisho ni Rungu la TRA wenyewe lazima mtu urudi Gia tu.
 
Kuna kigari fulani alikipost kwenye akaunt yake, nikakitamani, nikamfuata kumuuliza bei akapotezea..
Kibaya zaidi kile kigari, mtandaoni hukipati chenye siti kama zile..
Unaweza kukichungulia mkuu ukafanya uchunguzi wako?
 
Back
Top Bottom