Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,497
- 17,560
Mimi magari ya Umeme bado hujanishawishi kabisa.Kazaneni kutangaza. Na hivi magari ya umeme bado ni jambo geni kwa Bongo, mtashika wengi wasiojua ukweli masikio.
Mimi magari ya Umeme bado hujanishawishi kabisa.Kazaneni kutangaza. Na hivi magari ya umeme bado ni jambo geni kwa Bongo, mtashika wengi wasiojua ukweli masikio.
Chukua kaka ili niende tabora nikauze jina.Kuna kigari fulani alikipost kwenye akaunt yake, nikakitamani, nikamfuata kumuuliza bei akapotezea..
Kibaya zaidi kile kigari, mtandaoni hukipati chenye siti kama zile..
Unaweza kukichungulia mkuu ukafanya uchunguzi wako?
Hasa kwa Bongo. Majuu inaweza kuwa siyo issue lakini kwa Bongo bado.Mimi magari ya Umeme bado hujanishawishi kabisa.